Umemsikia rais Samia alivyo muumbua Mwendazake kwa uporaji wa wafanya biashara? Au CAG kwenye hasara ya ATCL tuliyoaminishwa na Mwendazake kuwa imetengeneza faida mpaka na gawio kutoa serikalini?? Mbona humwiti Rais Samia msaliti??Kwa hiyo wewe ni mwelewa? Umemsikiliza msaliti Lissu anavyoumbuliwa leo na Lumumba?
Kwani nani anauzuia?!Upinzani uachwe uwepo...
NaalKwani nani anauzuia?!
Kuna watu walifunga internet kuzuia jumuiya ya kimataifa isijue kinachoendelea,na wao waibe uchaguzi.Nimeona Lissu leo amejipanga kuchafua nchi.
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure.
Yule kakuzidi wewe na CCM wenzio wote.Lissu hanaga habari mpya afadhali hata Maria sarungi!
Mpango nae ana acquired Stupidity kama kina Kabudi na wengineo.Sasa si bora wapeleke bungeni mswaada wa kufuta vyama vya siasa kama anataka wapinzani wote waende CCM...
Maana kwa tafsiri ya lugha aliyoiongea ni kwamba Tanzania ni CCM
Kwa hiyo anataka tuwe na wabunge kama huyu wa CCM? Kweli ccm imetuona mazoba hasaMakamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!