Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niweke msafara wa Biden akienda kuhamsisha ujenzi wa madarasa ama? Yaani unaonekana bonge la juha, ama unadhani hata hizo barabara zao ni kama hizi zenye mashimo? Hebu kaa kwa kutulia maana huna ujualo.Kwani ninachosema ni siri. Ebu nitumia msafara wa Joe Biden ukiwa barabarani ukipishana na magari ya wananchi. Usiponitumia utakuwa huna tofauti na Mungu wa Zumaridi wa huko kwenu Mwanza.
SanaSisi mwaka Jana tulikwama saa 2 njiani kupisha mwenge. Kuna mambo ya ajabu Sana Nchi hii.
Utakuwa unakaa kwa dada wewe.Mbona hasira Kijana? Nenda Burundi[emoji1787]
Hayalipwi chochote ni mapumbavu na mazandiki tu, hata yakieleweshwa hayaelewi yaacheni hivo hivoHivi hua mnalipwa bei gani..mana sio kwa povu hili hata kuandika hujui..kweli kazi ya toilet pepa ni moja tu.
#MaendeleoHayanaChama
Bahati nzuri vijana wengi wa Chadema huwa mnafikiri mnajua sana kumbe ni wajinga na wapumbavu kupindukia.Niweke msafara wa Biden akienda kuhamsisha ujenzi wa madarasa ama? Yaani unaonekana bonge la juha, ama unadhani hata hizo barabara zao ni kama hizi zenye mashimo? Hebu kaa kwa kutulia maana huna ujualo.
Kwahiyo vijana wa ccm ndio mnaamini mnajua sana? Nimecheka kwa nguvu vibaya.Bahati nzuri vijana wengi wa Chadema huwa mnafikiri mnajua sana kumbe ni wajinga na wapumbavu kupindukia.
Tunajua sana. Ushahidi ni ushindi wa kishindo tunaoupata kila uchaguzi tangu 1995!Kwahiyo vijana wa ccm ndio mnaamini mnajua sana? Nimecheka kwa nguvu vibaya.
Tunajua sana. Ushahidi ni ushindi wa kishindo tunaoupata kila uchaguzi tangu 1995!
Na tangu 2005 mmeshindwa kuvishawishi hivyo vyombo ili viwaunge mkono nanyi muingie madarakani! Halafu mnajiita chama cha siasa kinachotarajia kushika dola? Pumbavu!!Uchaguzi wa kishindo wa ccm uliishia 2005, toka wakati huo ccm imezidi kuchoka, na sasa inategemea vyombo vya dola tu kubaki madarakani kwa shuruti. Hiki sio kizazi cha ccm boss, zama za ccm zimeshapita ndio maana inategemea dola tu kubaki madarakani.
Na tangu 2005 mmeshindwa kuvishawishi hivyo vyombo ili viwaunge mkono nanyi muingie madarakani! Halafu mnajiita chama cha siasa kinachotarajia kushika dola? Pumbavu!!
Ahahahahahah! Nimecheka mpaka DJ wa hapa bar amezima muziki ili kuuliza kulikoni! Ahahahahaha!Hatuhitaji mbeleko ya vyombo vya dola maana tunakubalika na kizazi cha sasa. Wazee ndio hutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.