Daaaa Dalali wa nchi.....na mshika remote Mkuu........mnafiki wa β οΈ karWakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
Wrong Move on his part.Ni mwendo wa timing.. Fooling the mass na MAGAZIJUTO
Tuanue matanga au tugawane mirathi?Pambanieni katiba jamaa ndio ana anza mdogo mdogo
Unachafua uzi wa mwenzioNdugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais Mheshimiwa Daktari Emmanueli Nchimbi Amtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu Wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Nguli Wa Diplomasia Barani Afrika na Duniani kote kwa ujumla wake katika Makazi Yake.
Mheshimiwa Jakaya Kikwete ndiye alikuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kuonana na kufanya mazungumzo na Rais wa 44 wa Marekani Barack Hussein Obama alipochaguliwa tu Urais wa Marekani.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3647671
πππ πποΈβ οΈβ οΈβ οΈβ οΈWrong Move on his part.
Huwezi kujihusisha na mtu kama huyo halafu bado unataka watu wakuamini?
Huyu kazi kwisha.
Kaitwa huko kupewa karipio.
Kumbe msoga kahama..Wakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
Hilo shati la Dkt Nchimbi limemkaa vema sana.Wakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
Hii Nchi Viongozi Wapo Kwenye Mahandaki Yaani Mujtaba Wa IranK
Kumbe msoga kahama..