Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

Hisia zangu zinahisi Emma hayuko salama na hiyo safari, hicho kiti ni salama kwake kiasi gani?
Kwenye kupiga picha karibu na maua yale maua ni salama kwake?
Je hajanywa maji hapo kwa huyo Mzee?
Mfumo dawati la siasa waliandaa script na wahusika wakanata na beat
 
Hii nchi ina vilaza wengi sana.
Mtu na akili zake timamu eti anamuamini Mwana CCM.
Tena mwana CCM mtandao

1. Tena kama haitoshi amekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa.
2. Amekuwa wqziri.
3. Amekuwa Balozi.
4. Amekuwa makamu wa Rais
5. Amehusika kwa Asilimia 100 na Mauaji ya October 29.

ALAFU MLIVYOKUWA WAPUMBAVU BADO MNAMUAMINI, CCM NI ILE ILE.
Una maana gani na neno hilo "kuamini"?

Hawa watu unaowasuta wewe hapa, wameeleza kuwa wamemwamini, ni akina nani hao?

Kuna yeyote aliyesema bayana kuwa anamwamini Nchimbi kwa anayoyasema; maana lawama zako ni za kijumlajumla tu!

Hivi haiwezekani kabisa huko kwenye CCM wakawepo waTanzania ambao hawayapendi yanayofanyika kwa jina la chama chao?
Akitokea mmoja au kadhaa ya watu hawa wakatamka bayana kutokuwa sehemu ya uovu huo; pia tuwakatae kwa vile waliwahi au wapo CCM?

Kuwa na mashaka juu yao ni sawa, lakini kujiapiza kabisa kama unavyofanya, binafsi sikubaliani na wewe.

Tutakuwa taifa la namna gani hili hata baada ya hawa waovu kuondolewa madarakani, na sisi tukaendelea kukomaliana namna hii!
 
Wrong Move on his part.

Huwezi kujihusisha na mtu kama huyo halafu bado unataka watu wakuamini?

Huyu kazi kwisha.

Kaitwa huko kupewa karipio.
sio kweli. Hii ni ''calculated move'' na alichofanya Samuya kutoa picha kuwa wastaafu sasa wamekaa makwao tulii(hutomsikia huyo jamaa kwenye ma uzinduzi ili kutuaminisha hivyo. na sio kimbelembele, kwa nyie Tec tunawasikiliza sasa mnasemaje.
Huo ndio. uhalisia.
 
Bahati mbaya uandishi wako siuelewi hata kidogo.

Sijui unaelezea kitu gani hapa!

Umechanganya mambo mengi, na wala hayana ufafanuzi wowote unaoeleweka.
1. Ni kipi siyo kweli?

2. "...wastaafu wamekaa kwao" nani hao, akina Kikwete? Sasa kama wamekaa kwao, kuna sababu zipi za kutembelewa na Makamu wakati huu?

Yaani Samia awalaghai watu wa TEC kwa hayo unayoyasema wewe na wamwamini?
Kuna jambo lolote analoweza kuaminiwa Samia Suluhu Hassan wakati huu; hata kwa watu wenye nusu tu ya akili za kibinaadam?
 
Walioelewa wameelewa
1. Nimekanusha hoja nilio -'quote' fuatilia soma kwa makini.

kwani hapo kaenda kumtembelea Wapi, Newyork Marekani?
Kuna sababu za kutembelewa wakati huu Tec wakiwa wametoka kusikilizwa na Samuya ili nyie na wa-nje muone sinema.. Waliosoma ''Mass comunication'' na ''public relation'' Watanielewa zaidi

Tulio dogo wanaoangalia sinema hii sio Tec

Machawa bado wanamwamini, kwa ujumla lazima atoe mlio kamba ikikaza iwe anaaminiwa au la.
 
Mkuu 'Mchoro son'
Wewe unasema ulisoma kitu chochote kinachohusiana na "communication" kweli?

Na ulihitimu vizuri tu, baada ya masomo yako!

Halafu sasa unaendesha shughuli zako zinazohusiana na kisomo chako hicho kwa kutumia taaluma kama inavyojitokeza hata katika maneno machache tu kama uliyoandika hapa?
Unamatatizo makubwa sana ya kujieleza na kueweka kwa wepesi.
Pengine hiyo ni staili yako, lakini hivyo ndivyo ninavyoiona mimi.

Hueleweki unachoandika.

Sasa nijibu uliyoandika wewe:
Akimfuata huko New York, haiwezekani akawa amemfuata "nyumbani kwake?

Utasemaje "TEC kusikilizwa" ulihusika na mipangilio hiyo wewe? haiwezi ikawa huyo Samuya ndiye kataka kusikilizwa na 'TEC'?

kiujumla, itanilazimu niseme unayo elimu ya ubabaishaji.

haitofautiani na aliyo nayo huyo Samuya.
 
ahsante, alamsiki.
8/10 imeshapita, tusubiri yajayo mada iendelee...
 
Kawaida, mngosi, mahonda na yule wa zenji wanamsema nchimbi vibaya, wasicho kijua ni kua huyu wanao msema ni long time kitambo chamani kuliko wao, sisi tuliKua viherehere kidogo tu tumecharuka ila mwisho tukajikuta yatima tukaanza tena kujipendekeza Kwa watu tulio watukana Jana kazi ilikua ngumu na wengine wakipigwa chini mazima chamani ukikutana nao Leo hii unaishia kusikitika, hao wakubwa wakizinguana kausha, jifanye hujui kinacho endelea full stop, kulinda kesho yako
Kama mkubwa mmojawapo akikutuma umtukane mkubwa mwenzake ambaye haziivi naye utakataa?
 
Hisia zangu zinahisi Emma hayuko salama na hiyo safari, hicho kiti ni salama kwake kiasi gani?
Kwenye kupiga picha karibu na maua yale maua ni salama kwake?
Je hajanywa maji hapo kwa huyo Mzee?
👇👇 Picha zinatonitia mashaka na hofu ni hizi mbili, kiti na maua
Kati ya Samia na Nchimbi ni nani mwenye unafuu wa kumsafishia njia Rizmoko 2030 kwa hali ilivyo sasa hususani kisiasa?
 
Back
Top Bottom