Hiyo shauri yake na kiherehere chake!Bora karipio, what if amekaribisha a glass of H2O
Hiyo shauri yake na kiherehere chake!Bora karipio, what if amekaribisha a glass of H2O
Sasa kuna nani mwingine huko ndani mkuu 'misasa'?Mmh! Huyu jamaa nilisema na naendelea kusema si wakuaminika
Tuwe na subira kidogo kabla ya kuhitimisha.
Ngoja tusikie akizungumza tena. Asipozungumza, tutajuwa kilichotokea, na habari yake ndio utakuwa mwisho wake.
Sijihisi chochote kuhusu haya maneno yako mkuu 'Matrix'; acha mchezo uendelee, hakuna kitakachojificha hapa mwisho wa yote.
Inawezekana sana huyu Nchimbi kawekewa hafla hiyo maksudi, na mapicha juu yake.
Hivi hujui ulaghai wa hawa waovu ulivyo?
Hii hapa inaweza kuwa ndiyo nafasi ya kwanza ya kummaliza huyu Nchimbi.
Asipotoa neno makini, huyu tayari kishaingiza kichwa mdomoni mwa mamba.
Mkuu Kalamu , heshima mbele, binafsi mimi nimepoteza imani totally na mtu yoyote kutoka CCM ambaye anaongelea mambo tofauti na CCM halafu akiwa mezani .
Nchimbi nitapanda boti lake endapo akichukua uamuzi wa kujitenga na genge hili la magaidi [ ndio CCM sasa sio chama cha siasa]
Ila kwa sasa hapa siwezi kumuunga mkono, CCM wamekua wakitumia hii turufu panapokuwa panatokota chumbani kwao wanakuja na "soft spoken gimmicks" wakitu lugha laini kujifanya kama kuna watu ni wabaya ndani wanataka wawafagie nje kumbe ni igizo mfano ile kauli yao ya "KUJIVUA GAMBA"
Mwaka 2002 baada ya katiba kumzuia Moi kugombea muhula wa 3 alimtosa aliyekua makamu wake wa rais Prof George Saitoti kwa miaka 13 kuwa mrithi wake badala yake akaona amteue Uhuru Kenyatta wakati huo akiwa hana uzoefu wala ushawishi wowote na alikua katoka kushindwa ubunge jimboni alikozaliwa,Moi kumchagua Uhuru ndio michezo wanatuchezea CCM kuona kuna mgawanyiko kumbe wanatengeneza igizo kulindana tu.
Ni kama unahoja mpya, ambayo bado sijaelewa vizuri unachozungumzia.Hamna lolote JK ndo yuko nyuma ya nchimbi kutokana na ali ilivyo kwasasa Jk ana akili sana kaona maza kachafuka kakimbia
Sahau Hilo mkuu, mi ni uvccm muda sana niliwaambia watu humu tangu nililo shuhudia Kwa lowassa, nilijifunza mengi kuhusu siasa usiamini mtu usi Amin mtu x10000Ni kama unahoja mpya, ambayo bado sijaelewa vizuri unachozungumzia.
Lakini kama ni hivyo nilivyokuelewa, jibu ni HAPANA.
Kikwete hawezi kamwe kumweka pembeni Samia kwa hali yoyote ile, halafu amkumbatie Nchimbi. Hilo haliwezekani.
Linalowezekana ni Nchmbi kupewa kibano, akiendelea kukaza shingo, wanaikata.
Rekebisha kidogo j hawez kimbia ila anacho fanya nikiweka mambo sawaHamna lolote JK ndo yuko nyuma ya nchimbi kutokana na ali ilivyo kwasasa Jk ana akili sana kaona maza kachafuka kakimbia
Mpaka sasa kapatia kwa 90%Mganga mtabiri wa Kenya amenifikirisha sana.
Natafakari 🤔
Unakwenda haraka mno, mkuu wangu 'Matrix'.Mkuu Kalamu , heshima mbele, binafsi mimi nimepoteza imani totally na mtu yoyote kutoka CCM ambaye anaongelea mambo tofauti na CCM halafu akiwa mezani .
Nchimbi nitapanda boti lake endapo akichukua uamuzi wa kujitenga na genge hili la magaidi [ ndio CCM sasa sio chama cha siasa]
Ila kwa sasa hapa siwezi kumuunga mkono, CCM wamekua wakitumia hii turufu panapokuwa panatokota chumbani kwao wanakuja na "soft spoken gimmicks" wakitu lugha laini kujifanya kama kuna watu ni wabaya ndani wanataka wawafagie nje kumbe ni igizo mfano ile kauli yao ya "KUJIVUA GAMBA"
Mwaka 2002 baada ya katiba kumzuia Moi kugombea muhula wa 3 alimtosa aliyekua makamu wake wa rais Prof George Saitoti kwa miaka 13 kuwa mrithi wake badala yake akaona amteue Uhuru Kenyatta wakati huo akiwa hana uzoefu wala ushawishi wowote na alikua katoka kushindwa ubunge jimboni alikozaliwa,Moi kumchagua Uhuru ndio michezo wanatuchezea CCM kuona kuna mgawanyiko kumbe wanatengeneza igizo kulindana tu.
Mbona hujajieleza ukaeleweka unasema nini mkuu 'Alexido'?Sahau Hilo mkuu, mi ni uvccm muda sana niliwaambia watu humu tangu nililo shuhudia Kwa lowassa, nilijifunza mengi kuhusu siasa usiamini mtu usi Amin mtu x10000
Kawaida, mngosi, mahonda na yule wa zenji wanamsema nchimbi vibaya, wasicho kijua ni kua huyu wanao msema ni long time kitambo chamani kuliko wao, sisi tuliKua viherehere kidogo tu tumecharuka ila mwisho tukajikuta yatima tukaanza tena kujipendekeza Kwa watu tulio watukana Jana kazi ilikua ngumu na wengine wakipigwa chini mazima chamani ukikutana nao Leo hii unaishia kusikitika, hao wakubwa wakizinguana kausha, jifanye hujui kinacho endelea full stop, kulinda kesho yakoMbona hujajieleza ukaeleweka unasema nini mkuu 'Alexido'?
Hayo ya Lowassa yanahusiana vipi na hili la Nchimbi?
Tueleze kinagaubaga wewe unavyoelewa hali hii iliyopo sasa, hata bila huko kuamini/kutoamini mtu katika siasa.
Umetuchanganya tu akili, bila ya kutufafanulia chochote.
Unakwenda haraka mno, mkuu wangu 'Matrix'.
Twende hatua kwa hatua, haraka ni ya nini kwa jambo muhimu kama hili?
1. Hakuna aliyemwamini Nchimbi hadi wakati huu,. Hili ni muhimu lieleweke.
Sasa kajiweka sehemu nzuri sana, ya kumjuwa rangi yake ikoje. Subiri kidogo aseme, au asiseme lolote kuhusu hali hii; tayari ujumbe utakuwa umefikishwa kwa kila mmoja wetu.
2. CCM tunayoizungumzia wakati huu, siyo CCM chama cha siasa chenye wanachama mamilioni ambao wengi wao hawatofautiani kabisa na sisi wengine tuliopo huku nje. Kwa nini tuendelee kuwahukumu wote hawa ambao hawana hiari yoyote kama tulivyo sisi?
Hasira zetu zinakuwa kwa waTanzania wenzetu, ambao na wao ni kama sisi tu hawawezi kufanya lolote dhidi ya hao walioshikilia chama chao?
Wewe unafikiri leo hii majambazi haya yakianguka hutawaona waTanzania (wanaCCM) wakishangilia?
Kama kuna igizo linafanyika, kitakachofuatia haraka kuhusu Nchimbi, kitatuonyesha nyeti zao zote wakwa utupu kama wachawi.
Vuta subira kidogo mkuu 'Matrix'.
Hii ziara yake imekuja wakati mzuri sana. Tena wakamtegeshea na mapicha kabisa ya kujipanga!
Umezisoma sura zao lakini kwenye picha hizo? Ujumbe haujifichi.
Alitabiri nini mkuu?Mpaka sasa kapatia kwa 90%
well done Dr.Emmanuel John Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania na Agenda ya waTanzania wote kwa mwaka 2030-2040🤝Wakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
Hakuna atakayejitenga na CCM akatoboa kivyovyote vile.
JPM ndiye angeweza kufanikisha hilo unalozungumzia lakini hakuwa mzuri kwenye kucheza kete zake vizuri
Na ukweli ni kuwa hiyo nafasi ya penalt aliyoikosa JPM haitapatikana tena kirahisi
Chair man wa GPE bado mbichi kabisaWakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
Exactly...matendo yangu sio sawa na Hawa wauwaji...matapeli... Wapumbavu.una uhakika wewe utakufa kifo kizuri mweshimiwa ?