Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Ni kama hata boss wake analoHilo shati la Dkt Nchimbi limemkaa vema sana.
Ni kama hata boss wake analoHilo shati la Dkt Nchimbi limemkaa vema sana.
Ile tabasamu ya mapokezi inanipa wasiwasi mkubwaAmemtembelea Mtu mchafu sana kwenye Jamii ya watanzania.
Mtu asiyeaminika na kuheshikika kabisa.
Nchimbi mtoto wa mfumo kama .....JK na JMuna ushahidi na usemayo? hivi wewe hujui kuwa jk ndio alianza kumpa vyo nchimbi?
Usishangae kusikia remote imepewa instruction na screenMzee Kikwete anajua jamaa kafata nini hapo daah na wamemaliza baadae tutapata jibu tuunge juhudi..
Zile taarifa tulizozisikia kuhusu Madrid ni za kweli.Usishangae kusikia remote imepewa instruction na screen
Kuna mmoja hapo anamfanyia timing mwenzake.Wakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
gonga IGNORE hiyo rubishUnachafua uzi wa mwenzio
Kwa shingo iliyonona kama yako, litakupendeza sana piaHilo shati la Dkt Nchimbi limemkaa vema sana.
GodFather🫡
Katulizwa tayariWakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
Huyu Nchimbi anazingua sana.Waarabu wa Pemba....
Mganga mtabiri wa Kenya amenifikirisha sana.Ni mwendo wa timing.. Fooling the mass na MAGAZIJUTO
Sijihisi chochote kuhusu haya maneno yako mkuu 'Matrix'; acha mchezo uendelee, hakuna kitakachojificha hapa mwisho wa yote.Nawaonea huruma wale ambao mlishaanza kumuona Nchimbi kama ni wa tofauti na kavua gamba la kijani , bila ya kufahamu CCM ni ile ile na watu wake ni wale wale.
Umeuona mpira miguuni mwake lini mkuu 'Jidu'. Usije ukawa unahitaji mawani mapya kutazama vizuri picha kama hizi.Mkuu, ni kama unaweweseka!
Unaona Nchimbi anavyo dribble boli?
Tuwe na subira kidogo kabla ya kuhitimisha.Kalamu nilikwambia Nchimbi team mtandao ni kijana wa Jk mkabisha sasa kiko wapi Jk ndo alimpa kazi Nchimbi ya UDC kazi yake ya kwanza