Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

Hisia zangu zinahisi Emma hayuko salama na hiyo safari, hicho kiti ni salama kwake kiasi gani?
Kwenye kupiga picha karibu na maua yale maua ni salama kwake?
Je hajanywa maji hapo kwa huyo Mzee?
Mfumo dawati la siasa waliandaa script na wahusika wakanata na beat
 
Una maana gani na neno hilo "kuamini"?

Hawa watu unaowasuta wewe hapa, wameeleza kuwa wamemwamini, ni akina nani hao?

Kuna yeyote aliyesema bayana kuwa anamwamini Nchimbi kwa anayoyasema; maana lawama zako ni za kijumlajumla tu!

Hivi haiwezekani kabisa huko kwenye CCM wakawepo waTanzania ambao hawayapendi yanayofanyika kwa jina la chama chao?
Akitokea mmoja au kadhaa ya watu hawa wakatamka bayana kutokuwa sehemu ya uovu huo; pia tuwakatae kwa vile waliwahi au wapo CCM?

Kuwa na mashaka juu yao ni sawa, lakini kujiapiza kabisa kama unavyofanya, binafsi sikubaliani na wewe.

Tutakuwa taifa la namna gani hili hata baada ya hawa waovu kuondolewa madarakani, na sisi tukaendelea kukomaliana namna hii!
 
Wrong Move on his part.

Huwezi kujihusisha na mtu kama huyo halafu bado unataka watu wakuamini?

Huyu kazi kwisha.

Kaitwa huko kupewa karipio.
sio kweli. Hii ni ''calculated move'' na alichofanya Samuya kutoa picha kuwa wastaafu sasa wamekaa makwao tulii(hutomsikia huyo jamaa kwenye ma uzinduzi ili kutuaminisha hivyo. na sio kimbelembele, kwa nyie Tec tunawasikiliza sasa mnasemaje.
Huo ndio. uhalisia.
 
Bahati mbaya uandishi wako siuelewi hata kidogo.

Sijui unaelezea kitu gani hapa!

Umechanganya mambo mengi, na wala hayana ufafanuzi wowote unaoeleweka.
1. Ni kipi siyo kweli?

2. "...wastaafu wamekaa kwao" nani hao, akina Kikwete? Sasa kama wamekaa kwao, kuna sababu zipi za kutembelewa na Makamu wakati huu?

Yaani Samia awalaghai watu wa TEC kwa hayo unayoyasema wewe na wamwamini?
Kuna jambo lolote analoweza kuaminiwa Samia Suluhu Hassan wakati huu; hata kwa watu wenye nusu tu ya akili za kibinaadam?
 
Bahati mbaya uandishi wako siuelewi hata kidogo.

Sijui unaelezea kitu gani hapa!

Umechanganya mambo mengi, na wala hayana ufafanuzi wowote unaoeleweka.
1. Ni kipi siyo kweli?
Walioelewa wameelewa
1. Nimekanusha hoja nilio -'quote' fuatilia soma kwa makini.
2. "...wastaafu wamekaa kwao" nani hao, akina Kikwete? Sasa kama wamekaa kwao, kuna sababu zipi za kutembelewa na Makamu wakati huu?
kwani hapo kaenda kumtembelea Wapi, Newyork Marekani?
Kuna sababu za kutembelewa wakati huu Tec wakiwa wametoka kusikilizwa na Samuya ili nyie na wa-nje muone sinema.. Waliosoma ''Mass comunication'' na ''public relation'' Watanielewa zaidi
Yaani Samia awalaghai watu wa TEC kwa hayo unayoyasema wewe na wamwamini?
Tulio dogo wanaoangalia sinema hii sio Tec
Kuna jambo lolote analoweza kuaminiwa Samia Suluhu Hassan wakati huu; hata kwa watu wenye nusu tu ya akili za kibinaadam?
Machawa bado wanamwamini, kwa ujumla lazima atoe mlio kamba ikikaza iwe anaaminiwa au la.
 
Mkuu 'Mchoro son'
Wewe unasema ulisoma kitu chochote kinachohusiana na "communication" kweli?

Na ulihitimu vizuri tu, baada ya masomo yako!

Halafu sasa unaendesha shughuli zako zinazohusiana na kisomo chako hicho kwa kutumia taaluma kama inavyojitokeza hata katika maneno machache tu kama uliyoandika hapa?
Unamatatizo makubwa sana ya kujieleza na kueweka kwa wepesi.
Pengine hiyo ni staili yako, lakini hivyo ndivyo ninavyoiona mimi.

Hueleweki unachoandika.

Sasa nijibu uliyoandika wewe:
Akimfuata huko New York, haiwezekani akawa amemfuata "nyumbani kwake?

Utasemaje "TEC kusikilizwa" ulihusika na mipangilio hiyo wewe? haiwezi ikawa huyo Samuya ndiye kataka kusikilizwa na 'TEC'?

kiujumla, itanilazimu niseme unayo elimu ya ubabaishaji.

haitofautiani na aliyo nayo huyo Samuya.
 
ahsante, alamsiki.
8/10 imeshapita, tusubiri yajayo mada iendelee...
 
Kama mkubwa mmojawapo akikutuma umtukane mkubwa mwenzake ambaye haziivi naye utakataa?
 
Kati ya Samia na Nchimbi ni nani mwenye unafuu wa kumsafishia njia Rizmoko 2030 kwa hali ilivyo sasa hususani kisiasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…