Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi asisitiza umuhimu wa kulinda mazingira na muungano

Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi asisitiza umuhimu wa kulinda mazingira na muungano



Ni mwendawazimu pekee atakayeongelea amani kwenye nchi iliyotamalaki dhuluma na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu.

Yeyote mwenye akili timamu, kwa Tanzania hii ya sasa iliyojaa watawala dhulumati, lazima ataongwlea haki ili nchi ipate amani.
 
Back
Top Bottom