H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 7,840 Reaction score 18,115 Dec 7, 2025 #21 safuher said: HzHHhHH Click to expand... Ni mwendawazimu pekee atakayeongelea amani kwenye nchi iliyotamalaki dhuluma na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu. Yeyote mwenye akili timamu, kwa Tanzania hii ya sasa iliyojaa watawala dhulumati, lazima ataongwlea haki ili nchi ipate amani.
safuher said: HzHHhHH Click to expand... Ni mwendawazimu pekee atakayeongelea amani kwenye nchi iliyotamalaki dhuluma na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu. Yeyote mwenye akili timamu, kwa Tanzania hii ya sasa iliyojaa watawala dhulumati, lazima ataongwlea haki ili nchi ipate amani.