Makamu wa Rais hakutumia busara kujitangaza kuwa yeye ni shabiki wa Yanga

Yaani Tz kwenye mambo ya kipuuuuzi ndio mnajifanya exceptional saana, mbona duniani kote viongozi wengi wanajulikana ni wapenzi wa timu gani, na hakuna shida,? Yaani hapa tu kwa mijinga ndio ionekane ni shida!! Na ujinga kwenye timu hizi ndipo ccm wanapatia point za kuongoza bila shida, kwani mijini masaa 24,ni kujadiri mambo ya mipira tu,
 
Unampangiaa mtu hisia zake.
His
Ungekuwa na D mbili ungeelewa theme ya huu uzi
 
..nahisi Dr.Mpango amevamia tu masuala ya mpira wa miguu.

..angekuwa na timu angeshajulikana kusingekuwa na haja ya yeye kujitambulisha.

..hakuna ubaya kwa mwanasiasa au kiongozi kuwa mshabiki wa Simba, au Yanga. Ni suala binafsi.

..mgogoro unaanza pale kiongozi wa serikali, au chama, anapojaribu kufungamanisha ushabiki wa Yanga, au Simba, na masuala ya kampeni za uchaguzi.
 
Noted
 
Kama ni mfuatiliaji wa bunge, bila shaka ulishamsikia MAJALIWA akiisifu Simba, na Makamu enzi akiwa waziri wa fedha alikuwa akiisifu Yanga.
 
Kwanza siasa na mpira haviingiliani labda kiongozi aamue kuhodhi madaraka.
Magu-Simba
Chalamila-simba
Mwana FA-Simba
Tulia Atson-Simba
Zungu-Simba
Kassim M-Simba
Zitto-Simba

Kikwete-Yanga
Tarimba-Yanga
Mwigulu-Yanga
Ridhiwani-Yanga
Karume-Yanga
A.H Mwinyi-Yanga

#Ukichukulia kila kitu serious Watakulamba tu
 
Watanzania tunapenda unafiki.
 
Aliyesema mkuki wenye sumu Kali wa Bernard Morison bungeni no bani?
 
😄 🤣 yaani team za mpira ligawe taifa
Sir Keir ni Arsenal damu na hawafichi
Mpira ni burudisho tu kama vingine na haina uhasama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…