Tanzania itapata ugeni mkubwa kutoka kwa Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Hariss anayetarajiwa kuanza ziara yake kuanzia tarehe 25 Machi 2023
Ziara hii ni matunda ya kuimarishwa kwa diplomasia maana Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani lengo lake kuu ilikua ni kuimarisha uhusiano katika mataifa mbalimbali ili watanzania tuendelee kunufaika na uwekezaji
Tukumbuke mwezi April 2022 Rais Samia Suluhu Hassan walikutana kwa mazugumzo katika Ikulu ya marekani White House Washington DC.