Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
huwezi ukaendesha maisha kama kagame na Banda wana kuhangaisha, wamarekani wanakupa pipi tuWewe leo unahitaji silaha au pesa kuweza kuendesha maisha yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi ukaendesha maisha kama kagame na Banda wana kuhangaisha, wamarekani wanakupa pipi tuWewe leo unahitaji silaha au pesa kuweza kuendesha maisha yako?
Daaah! Naona tunajadiliana vitu mchanganyiko hapa!huwezi ukaendesha maisha kama kagame na Banda wana kuhangaisha, wamarekani wanakupa pipi tu
nyie vijana wa kisasa ni shida kuunganisha ulinzi na maendeleo ya kawaida..Daaah! Naona tunajadiliana vitu mchanganyiko hapa!
Sasa nikikuuliza Banda ni nani? Na ana madaraka gani? Najua hauwezi kunijibu.nyie vijana wa kisasa ni shida kuunganisha ulinzi na maendeleo ya kawaida..
Kua na uthubutu atakuja kukutoa[emoji2960][emoji2960][emoji2960]View attachment 2546500
Huku kupenda vya Bure ndio maana mnafumuliwa marinda[emoji3][emoji3][emoji3]Unashindwa kuelewa wanapapatikia Russia Huwa wanapata nini hasa?
Mara mia upaparikie China kama Unaona USA kwao.ni shida maana China wanatoa vyote..
Ila Mimi ni mfuata wa Marekani na ningekuwa Kiongozi ningehakikisha Tanzania inakuwa oversea Florida Province ya USA.. [emoji38][emoji38]
Jiwe alikaza kuliko Museveni, Ruto na Mugabe combined!Kwa nini Jiwe hakukaza kama Museveni,Ruto au Mugabe?
Pole sana watu washalipwa na mitambo inatetema!! Upo huko Ikulyamabambashi mambo ya ubungo utayajulia wapi?
Utaondoka wewe utaniacha hapahapaNa wewe ondoka 😂😂
Na Jiwe alikuwa anasema hivyo hivyo 😁😁😁😁Utaondoka wewe utaniacha hapahapa
Mbona hatukuona vitendo zaidi ya porojo 😂😂Jiwe alikaza kuliko Museveni, Ruto na Mugabe combined!
Nani duniani, amewahi kumwambia mzungu usoni "unafanya mambo ambayo mbuzi hafanyi" ??
Mchina, Mrusi na Mwarabu hawajawahi kumtamkia Mzungu karipio kama hilo, pamoja na manguvu ya petroli, nuclear, na mapesa. Mkulima wa dunia ya tatu ndie aliyekuwa na guts and brilliance ya kujaribu.
Harris asingethubutu kufikiria kuleta kiguu na agenda during the convicted sovereignty that defined Pombe Magufuli's regime.
Wewe unajua tatizo la wabongo wanafikiri nchi South korea walijitenga na america angalia ilivyo sasa ukilinganisha na kwa kiduku watu masikini hawana uhuru kumiliki gari anaruhusiwa mjeshi na mtumishi mkubwa serikalini wengine mwendo wa baiskeli na public transport visa kutoka mwiko rais anateneza makombora tu raia Bora ya sisi wabongoWajinga kama wewe hakuna mnachojua..
Tuliambulia yafuatayo.
Miradi lukuki chini ya MCCL Barabara za Tunduma Sumbawanga,Songea Masasi,umeme Kigoma nk,
-Mradi wa kigamboni satellite city kabla ya Mwendazake kuvuruga,
-Tanzania kuwa centre ya project ya feed the future yaani saizi tungeshakuwa na kilimo advanced kama American Jiwe alivuruga,
-Tanzania ilikuwa focal ya program ya power Africa,ungeshakuwa na umeme wa kutosha zamani sana ila Jiwe alivuruga,
-Mwisho Tanzania ingekuwa mfano wa Maendelea wa sera ya Nje ya Marekani kama ilovyokuwa South Korea ila yule Mwehu wenu alivuruga na hakuna Cha maana alifanya..
linafikirisha..Je, atapata nafasi ya kuonana na viongozi wa vyama vya UPINZANI?
Kama tunashindwa kujitawala tuingie mkataba watutawale kwa miaka 10 tuone tatizo ni nini haswaa.Unashindwa kuelewa wanapapatikia Russia Huwa wanapata nini hasa?
Mara mia upaparikie China kama Unaona USA kwao.ni shida maana China wanatoa vyote..
Ila Mimi ni mfuata wa Marekani na ningekuwa Kiongozi ningehakikisha Tanzania inakuwa oversea Florida Province ya USA.. [emoji38][emoji38]
Sasa Harris yeye ana shida gani? Mtu anaishi nchi ya maziwa na asali na tena ni Number 2 wa nchi yenye uchumi mkubwa duniani.Jiwe alikaza kuliko Museveni, Ruto na Mugabe combined!
Nani duniani, amewahi kumwambia mzungu usoni "unafanya mambo ambayo mbuzi hafanyi" ??
Mchina, Mrusi na Mwarabu hawajawahi kumtamkia Mzungu karipio kama hilo, pamoja na manguvu ya petroli, nuclear, na mapesa. Mkulima wa dunia ya tatu ndie aliyekuwa na guts and brilliance ya kujaribu.
Harris asingethubutu kufikiria kuleta kiguu na agenda during the convicted sovereignty that defined Pombe Magufuli's regime.
Upinzani uko wapi Tanzania, mbowe asharudi kwao alikotoka kitamboo sasa ni asante mama tu kwisha habari yenu, lissu kajichimbia belgium ataweza wap tena maisha ya Tz..Je, atapata nafasi ya kuonana na viongozi wa vyama vya UPINZANI?
Mkuu jiangalieni vizuri kabla ya wao kulazimisha je hamuna huo ufirauni kabla ya kulazimishw na wazungu??Asije tu kutulazimisha ule ufirauni wao