Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

Bado Xi JinPing nae atakuja mwaka huu huu au ujao maana alialikwa..

Jiwe alikuwa anatembelewa na Rais wa Malawi,Zambia ,Burundi nk [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Siku alipopigiwa simu na Xi alichanganyikiwa Hadi akatapanya mafaili Ofisini [emoji1787][emoji1787]
Wew ni gasho africa itachelewa sana
 
Wale KLM na security alert yao ya mchongo imeishia wapi?
 
Ukiona wanakukubali na kukusifia jiulize sana maswali unakosea wapi...
 
Tanzania itapata ugeni mkubwa kutoka kwa Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Hariss anayetarajiwa kuanza ziara yake kuanzia tarehe 25 Machi 2025.

Bi kamala na Rais Samia wamekuwa na mazungumzo ya mara kwa mara kiasi ambacho wamejenga urafiki mkubwa baina yao.

View attachment 2546492
Aje na agenda ya ushoga pia
 
Aje tu akutane na ndugu zake kina Kamala....alete mikopo nafuu Africa mradi afya maji shule barabara .....Marathi ujinga umasikini bado mdudu anatutafuna tangu uhuru
 
sisi tuko upande wa urusi na uchina

Kwa taarifa yako Urusi hajawahi kutoa fedha kufadhili chochote yeye anchojua ni kutoa silaha na Wegnar anachotaka ni uasi uasi tuu, washirika wa maendeleo wa kweli Africa ni Marekani,European Union, Japan, South Korea,Scandinavian countries and the likes.
 
Mapenzi ya jinsia 1 ni agenda kuu.
Haipingwiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba watafanyaje? Hadi Sasa mbona msimamo wa Tzn ni haitambui rasmi lakini haiwakatazi,ndio maana yule poti alifutwa kazi.

Makonda.alijaribu enzi za Jiwe lakini serikali ikaishia kumluka eti ni msimamo wake binafsi 🤣🤣🤣🤣 na akaufyata yeye na Serikali.

Kwa nini Jiwe hakukaza kama Museveni,Ruto au Mugabe? Lisu keshasema masuala ya watu binafsi chumbani haifai kuwa jambo la serikali.
 
Kwa taarifa yako Urusi hajawahi kutoa fedha kufadhili chochote yeye anchojua ni kutoa silaha na Wegnar anachotaka ni uasi uasi tuu, washirika wa maendeleo wa kweli Africa ni Marekani,European Union, Japan, South Korea,Scandinavian countries and the likes.
Unashindwa kuelewa wanapapatikia Russia Huwa wanapata nini hasa?

Mara mia upaparikie China kama Unaona USA kwao.ni shida maana China wanatoa vyote..

Ila Mimi ni mfuata wa Marekani na ningekuwa Kiongozi ningehakikisha Tanzania inakuwa oversea Florida Province ya USA.. 😆😆
 
Kwa taarifa yako Urusi hajawahi kutoa fedha kufadhili chochote yeye anchojua ni kutoa silaha na Wegnar anachotaka ni uasi uasi tuu, washirika wa maendeleo wa kweli Africa ni Marekani,European Union, Japan, South Korea,Scandinavian countries and the likes.
silaha ukizithaaminisha unapata hela nyingi
 
Back
Top Bottom