Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

Baada ya kuondoka Rais wetu wa kweli mabeberu wanajileta tu nchini kwetu
 
Mfalme wa Morocco aliombwa msaada kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa michezo Dodoma na yule naniliu.
🤣😂🤣😂😂😂🤣😂Na Yule Shujaa
 
Huyo Kamala ana uhakika gani wa kushinda 2024? Au ndio Chawa wa Mama kazini?
 
Diplomasia ya Mama imeanza kufanya kazi..

Tutegemee mambo mazuri ikiwemo USA kutangaza dili za kibiashara na Tanzania hasa Kuruhusu bidhaa zetu kwao..

Pili ishu ya Agoa na kuirudisha Tanzania kwenye mradi wa MCCL
Bibi anavyopenda misaada na mikopo, subirini kukubali mambo ya LGBTQ!
 
Diplomasia ya Mama imeanza kufanya kazi..

Tutegemee mambo mazuri ikiwemo USA kutangaza dili za kibiashara na Tanzania hasa Kuruhusu bidhaa zetu kwao..

Pili ishu ya Agoa na kuirudisha Tanzania kwenye mradi wa MCCL
3 kufufua Sysmbion mradi aliokaja khizindua Obama ila ukazikwa na John
 
Bado Xi JinPing nae atakuja mwaka huu huu au ujao maana alialikwa..

Jiwe alikuwa anatembelewa na Rais wa Malawi,Zambia ,Burundi nk 🤪🤪🤪

Siku alipopigiwa simu na Xi alichanganyikiwa Hadi akatapanya mafaili Ofisini 🤣🤣
Kabla ya kifo chake alitembelewa na waziri wa mambo ya nje wa china kule Chato
 
Utaona jiji linavyopigwa deki mpaka na makalio na ulimi watanzania tungekuwa tunajituma kama tunavyojituma kufanya usafi kunapokuwa na ugeni mzito tungekuwa mbali sana
Wanataka kuja kutusumbua tu
 
Diplomasia ya Mama imeanza kufanya kazi..

Tutegemee mambo mazuri ikiwemo USA kutangaza dili za kibiashara na Tanzania hasa Kuruhusu bidhaa zetu kwao..

Pili ishu ya Agoa na kuirudisha Tanzania kwenye mradi wa MCCL
Kwani Tanzania imefaidika lini na AGOA?
Watu hupenda tu kutaji vitu ambavyo hata havina faida yoyote.

Agoa imekuwepo toka enzi za Clinton, hadi leo hakuna lolote ililofaidika nalo Tanzania kutokana na uwepo wa mpango huo.

Sasa tunalilia waje waje tuneemeke. Kwa vipi?

Badala ya kuwapa msukumo wananchi waelimike na fursa za aina hiyo, hawa viongozi kila mara wanapoteza muda kushughulikia mambo yasiyokuwa na faida kwa wananchi.

Wape wananchi elimu kuhusu mipango hii, halafu wawezeshe wawe na uwezo wa kufaidika na hiyo mipango.
 
Tanzania itapata ugeni mkubwa kutoka kwa Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Hariss anayetarajiwa kuanza ziara yake kuanzia tarehe 25 Machi 2025.

Bi kamala na Rais Samia wamekuwa na mazungumzo ya mara kwa mara kiasi ambacho wamejenga urafiki mkubwa baina yao.

View attachment 2546492
25 Machi 2025 ????????????????????????
 
Back
Top Bottom