ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
DharauKabla ya kifo chake alitembelewa na waziri wa mambo ya nje wa china kule Chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DharauKabla ya kifo chake alitembelewa na waziri wa mambo ya nje wa china kule Chato
Symbion ya kazi gani Kwa Sasa na umeme upo?3 kufufua Sysmbion mradi aliokaja khizindua Obama ila ukazikwa na John
Kwani tukikubali utakuwa unageuzwa wewe?Bibi anavyopenda misaada na mikopo, subirini kukubali mambo ya LGBTQ!
Na wewe ondoka 😂😂Baada ya kuondoka Rais wetu wa kweli mabeberu wanajileta tu nchini kwetu
Hata Sasa tunamtaka Biden na inaelezwa kwamba baadae mwaka atafanya ziara Afrika..MAIN AGENDAS ZITAKUWA
[emoji117]Kutambua haki na faragha za mashoga, wasagaji japo kisiri
[emoji117]kumpa nguvu mwanamke na kutimiza ile ajenda ya 50/50%
[emoji117]kudumisha demokrasia nchini
[emoji117]kujadiri Matokeo ya tabia nchi&utunzaji wa mazingira
[emoji117]Muenendo wa kupambana na majanga ya asili&milipuko ya magonjwa e.g corona&HIV/AIDS.
[emoji117]kujadiri misaada na mikopo ktk nyanja mbalimbali.
Kama kweli huyo Mmarekani atatia uwepo wake hapa nchi basi hoja3 kati ya hizo ktk orodha lazima ziwepo hasa hoja fulani.....
Hawa jamaa siku hizi wamepoteza ushawishi dunian wanatumia nguvu kubwa sana kuonesha uwepo wao na nguvu zao.
Mkumbuke wakat wa jakaya alifika nchini Rais mwenyewe wa USA na hakuna la maana mlilopata zaid ya kuambulia mikataba ya hovyo na misaada ya kishenzi.
Achen mawazo ya utegemezi jengeni nchi yenu wenyewe.
Mlitembelewa na obama, Xin jin wa china mliambulia nn zaid ya ushenz wa kuiba resources za waTanzania? Achen mindset za kitumwa kutegemea kupewapewa ndiomaana mnaishia kukubali na ushoga kisa kupewapewaBado Xi JinPing nae atakuja mwaka huu huu au ujao maana alialikwa..
Jiwe alikuwa anatembelewa na Rais wa Malawi,Zambia ,Burundi nk [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Siku alipopigiwa simu na Xi alichanganyikiwa Hadi akatapanya mafaili Ofisini [emoji1787][emoji1787]
Wajinga kama wewe hakuna mnachojua..Mlitembelewa na obama, Xin jin wa china mliambulia nn zaid ya ushenz wa kuiba resources za waTanzania? Achen mindset za kitumwa kutegemea kupewapewa ndiomaana mnaishia kukubali na ushoga kisa kupewapewa
Wajadir mambo ya msingi kama vile kurekebisha mikataba ya kinyonyaji ya rasilimali za nchi, mfano madini ya Uranium ni mali ya nchi lkn wao wanaweka vikwazo juu ya utumiaj wa madin haya kwann?Hata Sasa tunamtaka Biden na inaelezwa kwamba baadae mwaka atafanya ziara Afrika..
Mwisho kwani wewe ulitaka wajadili nini?
Ona sasa kwa akili hizi mnazodanganywa kwaiyo hiyo miradi imeishia wapi.Wajinga kama wewe hakuna mnachojua..
Tuliambulia yafuatayo.
Miradi lukuki chini ya MCCL Barabara za Tunduma Sumbawanga,Songea Masasi,umeme Kigoma nk,
-Mradi wa kigamboni kabla ya Mwendazake kuvuruga,
-Tanzania kuwa centre ya project ya feed the future yaani saizi tungeshakuwa na kilimo advanced kama American Jiwe alivuruga,
-Tanzania ilikuwa focal ya program ya power Africa,ungeshakuwa na umeme wa kutosha zamani sana ila Jiwe alivuruga,
-Mwisho Tanzania ingekuwa mfano wa Maendelea wa sera ya Nje ya Marekani kama ilovyokuwa South Korea ila yule Mwehu wenu alivuruga na hakuna Cha maana alifanya..
Unaongea upuuzi ambao hauna msingi.Wajadir mambo ya msingi kama vile kurekebisha mikataba ya kinyonyaji ya rasilimali za nchi, mfano madini ya Uranium ni mali ya nchi lkn wao wanaweka vikwazo juu ya utumiaj wa madin haya kwann?
Haya basi ijadiliwe mada ya wao kurudisha mali walizoiba kupitia mikataba yao ya kishenzi.
Kujadiliwa juu ya wao kuacha Control ktk misimamo ya kinchi mfano uhuru wa Tz kufanya biashara na nchi yoyote hata zile zisizo na mlengo wa USA mfano Russia, north korea, Iran, China
Pia Kujadiliwa mambo ya msingi na sio hizo mada nyepesi ambazo hazina faida kea taifa zaid ya sifa za wanasiasa na wapumbavu mliozoea kuichezea nchi, wew unafaidika vipi na kujadili mienendo ya demokrasia? Ama unafaidi nini kukijadiliwa mahusiano mazuri ya nchi?
Unaongea ujinga tuu.Wajadir mambo ya msingi kama vile kurekebisha mikataba ya kinyonyaji ya rasilimali za nchi, mfano madini ya Uranium ni mali ya nchi lkn wao wanaweka vikwazo juu ya utumiaj wa madin haya kwann?
Haya basi ijadiliwe mada ya wao kurudisha mali walizoiba kupitia mikataba yao ya kishenzi.
Kujadiliwa juu ya wao kuacha Control ktk misimamo ya kinchi mfano uhuru wa Tz kufanya biashara na nchi yoyote hata zile zisizo na mlengo wa USA mfano Russia, north korea, Iran, China
Pia Kujadiliwa mambo ya msingi na sio hizo mada nyepesi ambazo hazina faida kea taifa zaid ya sifa za wanasiasa na wapumbavu mliozoea kuichezea nchi, wew unafaidika vipi na kujadili mienendo ya demokrasia? Ama unafaidi nini kukijadiliwa mahusiano mazuri ya nchi?
Tulipogwa na nani na kiaje?Ona sasa kwa akili hizi mnazodanganywa kwaiyo hiyo miradi imeishia wapi.
Mkubali kuwa mlipigwa na hakuna namna mtajikomboa zaid ya kuachana na fikra za kitumwa
Ndo anakuja kukamilisha utaratibu wa mapenzi ya jinsia 1 kuwa halali hapa Bongo.Mradi asituletee ushoga au kutuletea ile miradi isiyokua na tija ila kutoa mikopo ya kuliwa na vigogo. Binafsi sina imani na wamarekani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado Xi JinPing nae atakuja mwaka huu huu au ujao maana alialikwa..
Jiwe alikuwa anatembelewa na Rais wa Malawi,Zambia ,Burundi nk [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Siku alipopigiwa simu na Xi alichanganyikiwa Hadi akatapanya mafaili Ofisini [emoji1787][emoji1787]
Waambie kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dili zao mtakazoletwa za kupakatana wanaume msilalamike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaaahUtaona jiji linavyopigwa deki mpaka na makalio na ulimi watanzania tungekuwa tunajituma kama tunavyojituma kufanya usafi kunapokuwa na ugeni mzito tungekuwa mbali sana
Mapenzi ya jinsia 1 ni agenda kuu.MAIN AGENDAS ZITAKUWA
[emoji117]Kutambua haki na faragha za mashoga, wasagaji japo kisiri
[emoji117]kumpa nguvu mwanamke na kutimiza ile ajenda ya 50/50%
[emoji117]kudumisha demokrasia nchini
[emoji117]kujadiri Matokeo ya tabia nchi&utunzaji wa mazingira
[emoji117]Muenendo wa kupambana na majanga ya asili&milipuko ya magonjwa e.g corona&HIV/AIDS.
[emoji117]kujadiri misaada na mikopo ktk nyanja mbalimbali.
Kama kweli huyo Mmarekani atatia uwepo wake hapa nchi basi hoja3 kati ya hizo ktk orodha lazima ziwepo hasa hoja fulani.....
Hawa jamaa siku hizi wamepoteza ushawishi dunian wanatumia nguvu kubwa sana kuonesha uwepo wao na nguvu zao.
Mkumbuke wakat wa jakaya alifika nchini Rais mwenyewe wa USA na hakuna la maana mlilopata zaid ya kuambulia mikataba ya hovyo na misaada ya kishenzi.
Achen mawazo ya utegemezi jengeni nchi yenu wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlitembelewa na obama, Xin jin wa china mliambulia nn zaid ya ushenz wa kuiba resources za waTanzania? Achen mindset za kitumwa kutegemea kupewapewa ndiomaana mnaishia kukubali na ushoga kisa kupewapewa