Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

Ujinga huu.Magorofa ndio Mpango Mji?
 
Waziri wa mazingira yupo kwani?

Tz sikukuu nyiiingi hazina mshiko
Wangetumia siku kadhaa za sikukuu majira za mvua ‘ kutumia kupanda miti nchi nzima na iwe ni mandatory’
Sikukuu za dini yoyote hazihusiki kwa hili zoezi pls
 
Jafo amefeli sana
 
Wamekosa akili za kuomba walau Bajeti kidogo waoteshe vitalu via JKT kama wanavofanga watu wa Kilimo kisha wagawe Bure Kwa Wananchi, taasisi na mashirika na kutoa order kuhakikisha Kila mti unakua?
Yaani wamelala, mama Samia asingeshindwa kuwapa hata bilioni tano Kila mwaka.

Taasisi ya misitu inafanya utafiti wa miti inayofaa kwa Dodoma, inapandwa.

Ukiangalia UDOM, yaani ni jangwa kabisa, hata ikulu, haina miti.
 
Nikajua Mwenezi anamuuliza Makamu
 
Huwa wanasubiria kipindi cha kiangazi watuonyeshe maigizo eti wanapanda miti,hii nchi kwakweli kuna wakati inakera sana.Tatizo ni kwamba hatuko serious,na sio kama haiwezekani,Dodoma ina kipindi cha mvua karibia mie 6,wakikomaa na hili kwa miaka 5 Dodoma itabadilika sana...
 
Itoshe kusema Dodoma ni jangwa........hata ukipanda miti itakufa maana mvua ni za mashaka. Zoezi la kupanda miti inabidi liwe la kitaifa tuwe na target kama Ethiopia wao wametarget kupanda miti Billion 50 ndani ya miaka 8 na mwaka huu tu wamepanda miti Million 500 nchi nzima kwa siku moja mpaka Raisi anashiriki siku hiyo hamna kazi ni kupanda miti tu kuanzia asubuhi mpaka jua lizame sio wazee sio watoto wote kazi ni moja.
 
CDA ilivyunjwa kwakuwa ilifika wakati ikabweteka,hili wala usimlaumu Magufuli,hata wananchi wa Dodoma wenyewe walishaichoka CDA,ilishakuwa mwiba kwa kila mwananchi hapo Dodoma,labda kwa wale mafisadi ambao walikuwa wanafaidika nayo...
 
CDA ilivyunjwa kwakuwa ilifika wakati ikabweteka,hili wala usimlaumu Magufuli,hata wananchi wa Dodoma wenyewe walishaichoka CDA,ilishakuwa mwiba kwa kila mwananchi hapo Dodoma,labda kwa wale mafisadi ambao walikuwa wanafaidika nayo...
Kwa mtazamo wako huo Tanzania mzima ivunjwe?
 
Na uzembe kama huo ndo unampaisha Makonda. Mawaziri wataona wamedhalilishwa pale Makonda atakapoagiza upandaji miti Dodoma kwenye mvua hizi, ila kwa wananchi atakuwa amepata kick kubwa sana. Viongozi credit anazopata Makonda mnamtafutia nyie wenyewe kwa upuuzi wenu.
 
Hapo unaipigia dodoma CDA amabayo kila mtu anajua ni failed institution. swala la kupanda miti haliihitaja hizo mwembwe

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…