Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga huu.Magorofa ndio Mpango Mji?Changamoto ni ujenzi holela wa kijinga, Dodoma ya leo siyo ya kuruhusu kujenga nyumba tofauti na maghorofa, mji lazima upangiliwe mapema, angalia NHC wanajenga mabanda tupu wanakwambia tuna mradi wa nyumba elfu 2, kumbe wangepiga magorofa 50 sawa na hayo mabanda elf 2 na maeneo mengine ikawa bustani.
Wamekosa akili za kuomba walau Bajeti kidogo waoteshe vitalu via JKT kama wanavofanga watu wa Kilimo kisha wagawe Bure Kwa Wananchi, taasisi na mashirika na kutoa order kuhakikisha Kila mti unakua?Wanasubiri fedha toka kwa wafadhili
Jafo amefeli sanaYupo Jafo anachofanya hapo ni kujizungusha tuu kwenye viwanda na kuvizia Mkutano wa COP akapate posho.
Jafo ana legacy gani Hadi Sasa kwenda Wizara ya Mazingira?
Nachojua Wizara ya Mazingira ni nyeti sana kwenye swala la mabadiliko ya Hali ya hewa nk.
Hii tabia ya kubeba beba mtu sababu ya dini Haina Afya.Fukuza Jafo hapo Wizarani.
Yaani wamelala, mama Samia asingeshindwa kuwapa hata bilioni tano Kila mwaka.Wamekosa akili za kuomba walau Bajeti kidogo waoteshe vitalu via JKT kama wanavofanga watu wa Kilimo kisha wagawe Bure Kwa Wananchi, taasisi na mashirika na kutoa order kuhakikisha Kila mti unakua?
Wanakera sana,amfukuze Jafo hakuna anachofanya hapo.Yaani wamelala, mama Samia asingeshindwa kuwapa hata bilioni tano Kila mwaka.
Taasisi ya misitu inafanya utafiti wa miti inayofaa kwa Dodoma, inapandwa.
Ukiangalia UDOM, yaani ni jangwa kabisa, hata ikulu, haina miti.
Tlatlaah laway, lawo ayahung'Asante kwa kukumbusha, kampeni itaanza karibuni sana
Ndo imekuwaDuh! na hii el nino bado Dodoma ni chenga? sijui kwa nini serikali walikomaa kuhamia hapo jangwani.......bora wangepeleka makao makuu Singida au Tabora.
Nikajua Mwenezi anamuuliza MakamuNashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
qam iraq khuaqa 🐒Tlatlaah laway, lawo ayahung'
Huwa wanasubiria kipindi cha kiangazi watuonyeshe maigizo eti wanapanda miti,hii nchi kwakweli kuna wakati inakera sana.Tatizo ni kwamba hatuko serious,na sio kama haiwezekani,Dodoma ina kipindi cha mvua karibia mie 6,wakikomaa na hili kwa miaka 5 Dodoma itabadilika sana...Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Itoshe kusema Dodoma ni jangwa........hata ukipanda miti itakufa maana mvua ni za mashaka. Zoezi la kupanda miti inabidi liwe la kitaifa tuwe na target kama Ethiopia wao wametarget kupanda miti Billion 50 ndani ya miaka 8 na mwaka huu tu wamepanda miti Million 500 nchi nzima kwa siku moja mpaka Raisi anashiriki siku hiyo hamna kazi ni kupanda miti tu kuanzia asubuhi mpaka jua lizame sio wazee sio watoto wote kazi ni moja.Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
CDA ilivyunjwa kwakuwa ilifika wakati ikabweteka,hili wala usimlaumu Magufuli,hata wananchi wa Dodoma wenyewe walishaichoka CDA,ilishakuwa mwiba kwa kila mwananchi hapo Dodoma,labda kwa wale mafisadi ambao walikuwa wanafaidika nayo...Moja ya hatua za mwanzo mwanzo alizochukua magufuli ni kuvunja mamlaka ya ustawishaji makao makuu, CDA. Unakumbuka kazi kubwa iliyofanywa na CDA kupanda miti, na kuibadilisha dodoma iliyokuwa almost jangwa kuwa kama ilivvyo Leo? Kulikuwa na idara ya mazingira, Kwa muda mrefu ikiongozwa na mkurugenzi Thomas Mtei, na ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika lao JICA, na vijana wa kujitolea JOCV. Kazi iliyofanywa ni kubwa. All of a sudden CDA ikavunjwa- eti hakuna walichofanya zaidi ya kufisadi viwanja! Stupid.
Duh! na hii el nino bado Dodoma ni chenga? sijui kwa nini serikali walikomaa kuhamia hapo jangwani.......bora wangepeleka makao makuu Singida au Tabora.
Kwa mtazamo wako huo Tanzania mzima ivunjwe?CDA ilivyunjwa kwakuwa ilifika wakati ikabweteka,hili wala usimlaumu Magufuli,hata wananchi wa Dodoma wenyewe walishaichoka CDA,ilishakuwa mwiba kwa kila mwananchi hapo Dodoma,labda kwa wale mafisadi ambao walikuwa wanafaidika nayo...
You said it ,au wanateka kubinafsisha hicho kitengo kwa sis amna tunachokiwezaWanasubiri fedha toka kwa wafadhili
Hapo unaipigia dodoma CDA amabayo kila mtu anajua ni failed institution. swala la kupanda miti haliihitaja hizo mwembweMoja ya hatua za mwanzo mwanzo alizochukua magufuli ni kuvunja mamlaka ya ustawishaji makao makuu, CDA. Unakumbuka kazi kubwa iliyofanywa na CDA kupanda miti, na kuibadilisha dodoma iliyokuwa almost jangwa kuwa kama ilivvyo Leo? Kulikuwa na idara ya mazingira, Kwa muda mrefu ikiongozwa na mkurugenzi Thomas Mtei, na ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika lao JICA, na vijana wa kujitolea JOCV. Kazi iliyofanywa ni kubwa. All of a sudden CDA ikavunjwa- eti hakuna walichofanya zaidi ya kufisadi viwanja! Stupid.