Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

Hawa watu wanachojali ni Ugali tu na watoto wao.
 
Kwani Dodoma imeanza leo? Kwanini viongozi waliomtanguliwa hapo Dodoma hawakuifanya ya Kijani kwa kupanda Miti?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Dodoma kuitwa makao makuu ya nchi ni kisiasa zaidi kuliko uhalisia ulivyo! Mpango na mama Abdul muda mwingi hawapo Dodoma; kama mama Abdul hayuko nje ya nchi , basi atakuwa Dar es Salaam au Kazimkazi. Mpango vile vile kama hayuko nje ya nchi yuko Muhambwe au nyumbani kwake siuji Buza!! Viongozi wanatumia Dododma kama mtaji kwasababu wakiwa nje ya Dodoma wanalipwa allowance ya kuwa nje ya kituo cha kazi!! Hivi ndivyo viongozi na watendaji wa serikali wanavyoifilisi nchi yetu!
 
Alisafiri nje ya nchi kwa kazi maalumu hivyo usimlaumu.
 
Ile miti tu mnayoiona imepandwa kuanzia ikulu juja karimje kuingia samora unaanbiwa alipanda mjerumani....
Mbongo mambo ya kupanda miti ajuwe wapi yeye anajuwa kufyeka miti tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…