Bado tupo bussy kugombania ardhi zetu Kwanza maana mambo yameshakuwa mengi huko Ardhi.Wananchi wa Dodoma wapo tayari kwa kijani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tupo bussy kugombania ardhi zetu Kwanza maana mambo yameshakuwa mengi huko Ardhi.Wananchi wa Dodoma wapo tayari kwa kijani?
Hawa watu wanachojali ni Ugali tu na watoto wao.Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Dodoma kuitwa makao makuu ya nchi ni kisiasa zaidi kuliko uhalisia ulivyo! Mpango na mama Abdul muda mwingi hawapo Dodoma; kama mama Abdul hayuko nje ya nchi , basi atakuwa Dar es Salaam au Kazimkazi. Mpango vile vile kama hayuko nje ya nchi yuko Muhambwe au nyumbani kwake siuji Buza!! Viongozi wanatumia Dododma kama mtaji kwasababu wakiwa nje ya Dodoma wanalipwa allowance ya kuwa nje ya kituo cha kazi!! Hivi ndivyo viongozi na watendaji wa serikali wanavyoifilisi nchi yetu!Kwani Dodoma imeanza leo? Kwanini viongozi waliomtanguliwa hapo Dodoma hawakuifanya ya Kijani kwa kupanda Miti?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Alisafiri nje ya nchi kwa kazi maalumu hivyo usimlaumu.Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti.
Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Na zikifika zinaelekezwa kwenda sehemu nyingine..Wanasubiri fedha toka kwa wafadhili
PoleniBado tupo bussy kugombania ardhi zetu Kwanza maana mambo yameshakuwa mengi huko Ardhi.
HaaDodoma Ni kijani