comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
watapigika sana timu pinzanNi hatar MSN
Barcelona atapata tuzo, messi ana miaka 32, inamaana neymar ndio atarithi mikobaDogo ndiyo alishapotea maana hana tuzo yoyote kubwa,anaenda Kuendelea kukaa mfukoni mwa andunje
Neymar ana 27 saizi,cr7 na mesi walianza kupata tuzo lini? Umri na majeruhi yakila wakati hiyo tuzo ataipatia wapi? Labda MOTBarcelona atapata tuzo, messi ana miaka 32, inamaana neymar ndio atarithi mikoba
Ataipata mkuu.Neymar ana 27 saizi,cr7 na mesi walianza kupata tuzo lini? Umri na majeruhi yakila wakati hiyo tuzo ataipatia wapi? Labda MOT
Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar anataka kurudi Barcelona kulingana na naibu rais wa klabu hiyo .
Hatahivyo Jordi Cardoner amesisitiza kuwa hakuna mawasiliano yoyote yaliofanyika kati yao na mchezaji huyo ambaye alihudumu miaka minne katika klabu hiyo ya Nou Camp.
Mchezaji huyo wa Brazil ametaabika katika klabu ya PSG tangu aliposajiliwa kwa dau lililovunja rekodi la dunia 2017.
Pale mbele MESSI,SUAREZ,NEYMAR
Hapo kati FRANKIE DEJONG,ARTHUR,BUSQUETS
Hatariiiii!
Ngoja tusuhbilie,ila sioni anaipataje maana sioni kama anajipya sanaAtaipata mkuu.
Messi ameanza kupungua makali.
Mbona Modric kapata ballon d,or ktk miaka ya 33?!
Neymar atapata tyu
mbappe ana nini akimbiwe? neymar na rais wa psg wana bifu kali ndio sababuMasikini ya Mungu mtoto wa watu anataabika. Barcelona kamkimbia mwenye mpira wake/Messi,,,,PSG nako anamkimbia Mbappe. Anatia huruma
ni Kweli, bado mda anao, lakin apunguze anasa na utotoAtaipata mkuu.
Messi ameanza kupungua makali.
Mbona Modric kapata ballon d,or ktk miaka ya 33?!
Neymar atapata tyu
Tatizo yule dogo alitaka makubwa nje ya muda.Ngoja tusuhbilie,ila sioni anaipataje maana sioni kama anajipya sana
Spana mkononi huyo hana ishu. Anakula hela za bure tu
mbappe ana nini akimbiwe? neymar na rais wa psg wana bifu kali ndio sababu
Bado anaupiga mwingi
Ni Kweli inatakiwa ajirekebisheSikukatalii mkuu. Ila aache utoto na dharau. Haoni kuwa ana 27 now na hana kitu chochote. Wakina Messi na Ronaldo wamepata tuzo nyingi wakiwa na umri mdogo, Afanye kazi na sio kulialia na kukimbia big matches
Ni Kweli inatakiwa ajirekebishe