Makamu wa rais wa Barcelona: Neymar anataka kurudi Barcelona

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar anataka kurudi Barcelona kulingana na naibu rais wa klabu hiyo .

Hatahivyo Jordi Cardoner amesisitiza kuwa hakuna mawasiliano yoyote yaliofanyika kati yao na mchezaji huyo ambaye alihudumu miaka minne katika klabu hiyo ya Nou Camp.

Mchezaji huyo wa Brazil ametaabika katika klabu ya PSG tangu aliposajiliwa kwa dau lililovunja rekodi la dunia 2017.

Pale mbele MESSI,SUAREZ,NEYMAR

Hapo kati FRANKIE DEJONG,ARTHUR,BUSQUETS

Hatariiiii!
 
Dogo ndiyo alishapotea maana hana tuzo yoyote kubwa,anaenda Kuendelea kukaa mfukoni mwa andunje
 
Neymar ana 27 saizi,cr7 na mesi walianza kupata tuzo lini? Umri na majeruhi yakila wakati hiyo tuzo ataipatia wapi? Labda MOT
Ataipata mkuu.
Messi ameanza kupungua makali.
Mbona Modric kapata ballon d,or ktk miaka ya 33?!
Neymar atapata tyu
 
Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar anataka kurudi Barcelona kulingana na naibu rais wa klabu hiyo .

Hatahivyo Jordi Cardoner amesisitiza kuwa hakuna mawasiliano yoyote yaliofanyika kati yao na mchezaji huyo ambaye alihudumu miaka minne katika klabu hiyo ya Nou Camp.

Mchezaji huyo wa Brazil ametaabika katika klabu ya PSG tangu aliposajiliwa kwa dau lililovunja rekodi la dunia 2017.

Pale mbele MESSI,SUAREZ,NEYMAR

Hapo kati FRANKIE DEJONG,ARTHUR,BUSQUETS

Hatariiiii!

Masikini ya Mungu mtoto wa watu anataabika. Barcelona kamkimbia mwenye mpira wake/Messi,,,,PSG nako anamkimbia Mbappe. Anatia huruma
 
mbappe ana nini akimbiwe? neymar na rais wa psg wana bifu kali ndio sababu
 
Neimar hajatulia umri mkubwa lakini ana mambo ya kitoto mara afanye fujo kwa mashabiki awapige kama sio upumbavu ni nini!! Kwanini asimuige Messi kitabia japo robo yake tu!! So unagkiri Raisi ataweza kumvumilia!!

Raisi kama Raisi anapenda kufanya kazi na wenye nidhamu/msimamo vitu ambavyo kwa huyu sharo havipo. Na ndio maana Sheikh Mansour hana shida nae hata akiondoka sawa tu hana msaada wowote kazi kula bata tu, na kuzikimbia tim kubwa kubwa na kudanganya kaumia ili akasheherekee tu birthday ya dada yake 😂😂😂😂😂😂 kazi kwelikweli
 
Bado anaupiga mwingi

Sikukatalii mkuu. Ila aache utoto na dharau. Haoni kuwa ana 27 now na hana kitu chochote. Wakina Messi na Ronaldo wamepata tuzo nyingi wakiwa na umri mdogo, Afanye kazi na sio kulialia na kukimbia big matches
 
Ni Kweli inatakiwa ajirekebishe
 
Back
Top Bottom