pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Haya si mapya huyu makamu rais wetu ni mwizi kupindukia.Nilimpigia kura lakini naona aibu kweli.Jamaa anakusanya kila kitu,mashamba anaiba bila aibu hata vya wanyonge anachukua.Wakenya tusione aibu mbele ya majirani kusema ukweli.
Eti katengeneza mali kwa biashara zake,uongo! Nani asiyejua tabia hii yake,akiona shamba kubwa ambalo hakuna mtu anashughulika kilimo au biashara ndani ananyakua tena kwa fujo.aargh!
Eti katengeneza mali kwa biashara zake,uongo! Nani asiyejua tabia hii yake,akiona shamba kubwa ambalo hakuna mtu anashughulika kilimo au biashara ndani ananyakua tena kwa fujo.aargh!