MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Mmh Mtz mwenzangu rudi tu ktk yale majukwaa yetu ya Watz wenzetu,huku siyo saizi yako maana Watz tunadhani kila mwenye fedha ni fisadi,tunaona fahari sana kuwa maskini.Na tunadhani umaskini ndio taaswira sahihi ya uadilifu.
Nakuunga mkono asilimia 1000% ukienda hata KISUMU Raila ana investment za kufa mtu lakini huwezi sikia wanamuita Fisadi, tatizo bongo tunaishi kwa fikra za kijamaa that is why tunashindwa hata kushindana na wenzetu ndani ya EA