pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hatujasema lazima uwe masikini, lakini i thought the whole point of being a leader ni kureflect status ya jamii yako.....yaani ukiwa President of Tanzania lazima uwe the IDEAL Tanzanian. TEKNOLOJIA
hahaha,hayo ndo matunda ya kuchagua mafisadi
Kwa hiyo kama alizaliwa masikini anaruhusiwa kufanya lolote analotaka?
Mshahara wake ni sh ngapi?
Alitoa wapi hela za kuweza kujenga lijumba hilo?
EXACTLY! There is a catch. As long as it's clean money. The state should carry out an investigation to establish that. OzzieUmeshaambiwa ame hustle kupata hela zake.
Ni mfanyabiashara, haishi kwa mshahara.
Yes, ana uwezo wa kufanya chochote anachotaka as long as hiyo ni 'clean' money.
Haya si mapya huyu makamu rais wetu ni mwizi kupindukia.Nilimpigia kura lakini naona aibu kweli.Jamaa anakusanya kila kitu,mashamba anaiba bila aibu hata vya wanyonge anachukua.Wakenya tusione aibu mbele ya majirani kusema ukweli.
Eti katengeneza mali kwa biashara zake,uongo!Nani asiyejua tabia hii yake,akiona shamba kubwa ambalo hakuna mtu anashughulika kilimo au biashara ndani ananyakua tena kwa fujo.aargh!
Ukiwa na utajiri namna hiyo kwa nini unataka kuwa makamu wa rais au rais?Nyie mnasema majizi mtu ka hustle kupata hela zake unamuita mwizi. Wakenya wanajua maana ya u capitalist sio nyie watanzania bado mnawaza kijamaa. Fuatilia historia ya Ruto sio unaanza kuropoka tu eti mwizi.
Ruto ni msomi na alikua mfanyabiashara kitambo sana kwa hiyo kumiliki vitu kama hivo ni kitu cha kawaida. Na anavosema yeye ni hustler ana maanisha coz hajatoka kwenye family kama za kina Uhuru kenyatta au Moi yeye ame hustle mwenyewe from scratch.
Kwa nini una-generalise Wacha fujo. Historia ya upataji pesa wa Lowasa unaufahamu wewe au umeambiwa?Mmeshaambiwa huyo jamaa kauza sana kuku,,kifupi alikuwa mfugaji..Sasa nyinyi Watanzania mkiambiwa Kilimo na Ufugaji vinalipa kuliko kitu chochote amkubali,mnataka kuuza Madawa ya kulevya,Sijui kwenda China kuleta mzigo kama msemavyo...
Ruto anastahili maana haki yake.ametoka mbali...amelisha watu kuku mungu amembariki ,Nyinyi mnaouza Madawa ya kulevya Mungu awezi kuwabariki hata...Lowasa ni mfugaji pia pesa kibao ,lakini tunaambiwa fisadi.Watanzania mjipange..
Mkuu ni nani amekuambia kuwa malengo ya kufanya kazi ni kupata pesa pekee kwa watu wote? Hivi unamfahamu yule meya wa NYC aliyekuwa analipwa dola moja mshahara kwa mwezi?Ukiwa na utajiri namna hiyo kwa nini unataka kuwa makamu wa rais au rais?
No one said that.This should be a great lesson to some Tanzanians who subscribe to the philosophy of "switch political parties and grand corruption will automatically evaporate".
Hilo swali muulize Donald Trump kwanini pamoja na utajiri alionao anataka kuwa Rais wa Marekani? Majibu atayakupa ni sawa na ulichouliza weweUkiwa na utajiri namna hiyo kwa nini unataka kuwa makamu wa rais au rais?
Hivi mkuu kwa mtu Hustler kuwa na nyumba ya bilioni 20 mbona kitu kidogo sana na William Ruto alikuwa mfanya biashara mkubwa sana kabla hata ya kuwa kiongozi. Sasa sijui shida ikowapi hapo unless utakuwa na chuki binafsi tu dhidi ya Ruto maana naona unataka kupinga vitu ambavyo vipo clear.Kwa hiyo kama alizaliwa masikini anaruhusiwa kufanya lolote analotaka?
Mshahara wake ni sh ngapi?
Alitoa wapi hela za kuweza kujenga lijumba hilo?