Mmh Mtz mwenzangu rudi tu ktk yale majukwaa yetu ya Watz wenzetu,huku siyo saizi yako maana Watz tunadhani kila mwenye fedha ni fisadi,tunaona fahari sana kuwa maskini.Na tunadhani umaskini ndio taaswira sahihi ya uadilifu.
Hilo swali muulize Donald Trump kwanini pamoja na utajiri alionao anataka kuwa Rais wa Marekani? Majibu atayakupa ni sawa na ulichouliza wewe
Mkuu ni nani amekuambia kuwa malengo ya kufanya kazi ni kupata pesa pekee kwa watu wote? Hivi unamfahamu yule meya wa NYC aliyekuwa analipwa dola moja mshahara kwa mwezi?
Nakuunga mkono asilimia 1000% ukienda hata KISUMU Raila ana investment za kufa mtu lakini huwezi sikia wanamuita Fisadi, tatizo bongo tunaishi kwa fikra za kijamaa that is why tunashindwa hata kushindana na wenzetu ndani ya EA
Labda useme hivyo lakini mtu anaingia kwenye siasa masikini halafu anatoka bilionea si sawa hata kidogo!Hivi mkuu kwa mtu Hustler kuwa na nyumba ya bilioni 20 mbona kitu kidogo sana na William Ruto alikuwa mfanya biashara mkubwa sana kabla hata ya kuwa kiongozi. Sasa sijui shida ikowapi hapo unless utakuwa na chuki binafsi tu dhidi ya Ruto maana naona unataka kupinga vitu ambavyo vipo clear.
Mbona Bakhresa watu hawamuiti Fisadi, Mengi hawamuiti fisadi, usikurupuke tu kama hufahamu hoja. Wapo matajiri wengi tu na hawaitwi mafisadi, wanaoitwa mafisadi ukiangalia pesa zao wamezipata kutokana na wizi uliokubuhu wa kudhuluma pesa za walipa kodi na ushahidi tunao.
Mtu alikuwa hana kitu baada ya siku mbili tatu kwa sababu ya rushwa ya kuwauza waafrika wenzake anaibuka tajiri. Usirukie treni kwa mbele utaumia pua.
Kwa mishahara ya mawaziri hata marais wa Afrika utajiri wa hawa viongozi wengine unatia mashaka ni sawa na utajiri wa Kenyatta ambaye alidhulumu mashamba kwenye utawala wa kwanza wa Kenya n.k. Pamoja na kuua wengi kama kina Kariuki etc.
Twambie wewe si ndiye unahitimisha!Kwahiyo Ruto amepata utajiri wake baada ya kuwa mwanasiasa?
Kwa hiyo kama alizaliwa masikini anaruhusiwa kufanya lolote analotaka?
Mshahara wake ni sh ngapi?
Alitoa wapi hela za kuweza kujenga lijumba hilo?
Kwani kuna mtu amelinganisha USA na Kenya? Ninacho maanisha mimi ni kwamba pesa za mtu zisimfanye asiwe na tamaa ya madaraka.Unataka kulinganisha democracy ya USA na Kenya? People should differentiate between these small countries of ours and countries like USA, UK etc. There are check and balances unparalleled to our small nations.
Trump's reasons aren't the same with Ruto, believe me. If you cannot understand that I do not know who can make you understand.
hahaha,hayo ndo matunda ya kuchagua mafisadi
Twambie wewe si ndiye unahitimisha!
I don't get this pple calling Ruto corrupt
I don't like Ruto that is true BUT RUTO GAS AN ON GOING CASE IN THE HAGUE ALL HIS FINANCIAL RECORDS TILL HIS CASE ENDS OR IS DISMISSED ARE BEING MONITORED NOT ONLY BY INTEGRITY OFFICE NAIROBI BUT ICC TOO JUST INCASE HE WOULD WANT TO BRIBE A WITNESS GROW UP
I DONT THINK FOR A SECOND AMEIBA HYO PESA
IN KENYA PPLE AT THE TOP ARE NOT THEIFS MAYBE THEIR FORE FATHERS WERE THIEVES BUT WATU WANAO WAFWATA NDIO WEZI
LAKINI
MA MINISTERS AND PRESIDENT AND MOST JUDGES NOOOOO.....
I don't get this pple calling Ruto corrupt
I don't like Ruto that is true BUT RUTO GAS AN ON GOING CASE IN THE HAGUE ALL HIS FINANCIAL RECORDS TILL HIS CASE ENDS OR IS DISMISSED ARE BEING MONITORED NOT ONLY BY INTEGRITY OFFICE NAIROBI BUT ICC TOO JUST INCASE HE WOULD WANT TO BRIBE A WITNESS GROW UP
I DONT THINK FOR A SECOND AMEIBA HYO PESA
IN KENYA PPLE AT THE TOP ARE NOT THEIFS MAYBE THEIR FORE FATHERS WERE THIEVES BUT WATU WANAO WAFWATA NDIO WEZI
LAKINI
MA MINISTERS AND PRESIDENT AND MOST JUDGES NOOOOO.....
...tunaona fahari sana kuwa maskini...