Ukimwi una miaka zaidi ya 359+ tangia ugundulike Tanzania kwa mara ya kwanza,Kiwanda cha kondomu tumeshaanza kujenga cha kwetu kwa pesa zetu wenyewe hapo MSD. Kitatoa kondomu bora sana kwa watanzania vyenye usalama wa uhakika. Haya makondomu ya misaada tunaachana nayo kwani huwezi kujua usalama wake. Wanaweza wakakuwekkea mavitu mengine ya ajabu ajabu kwenye makondomu hayo.
Kwani corona imekwisha?Huyu mama atapata wageni wengi sana!
Hiyo miaka du[emoji41]Ukimwi una miaka zaidi ya 359+ tangia ugundulike Tanzania kwa mara ya kwanza,
Leo ndio kinajengwa Kiwanda cha Condom? (Kama ni kweli lakini)
Mimi nadhani wangehangaika na Chanjo ya Covid-19 hao Wataalam wetu.
Huu ni uzushi hilo tatizo lipo dunia nzima na sababu zinafahamika, weka sababu ambazo ulienda mahali pengine huwezi kuzipata. Wangeamua wangetumaliza miaka mingiKwa miaka yote hiyo unajuaje kama walikuwa hawatuwekei mambo ya ovyo ovyo? Unajua ni sababu gani kwa mfano asilimia 50 % ya wanaume wa Dar wanaupungufu wa nguvu za kiume? Yaani hata idadi ya kufunga ndoa imekuwa ikipungua mwaka hadi mwaka. Huko Dodoma spika wa bunge Mh Ndungai alienda kutembelea health centre moja ya kisasa yenye vitanda 20 vya kuzalia (delibery beds) alisikitishwa kuvikuta viko empty. Na akaambiwa deliveries siku hizi hazizidi 5 kwa mwezi. Aliwalaumu sana wagogo wa kiume wa Dodoma kwa kushindwa kutimiza majukumu yao. Huko.wilaya ya Rombo hali ni mbaya zaidi. Imefikia kiwango hadi cha ku import madume kutoka nchi jirani ili kuokoa jahazi.
Eti hapana, unaota wewe! Hamna nguvu ya kukataa hata kondomu zao tu acheni ujinga.
Sawa. Tutawafikiria..
Unaangalia kiwanda jengo,utaalamu was utengenezaji na malighafi zinatoka Makunduchi sio??Kiwanda cha kondomu tumeshaanza kujenga cha kwetu kwa pesa zetu wenyewe hapo MSD. Kitatoa kondomu bora sana kwa watanzania vyenye usalama wa uhakika. Haya makondomu ya misaada tunaachana nayo kwani huwezi kujua usalama wake. Wanaweza wakakuwekkea mavitu mengine ya ajabu ajabu kwenye makondomu hayo.
Utumwa huo wa kifikra haufuti kwa Kauli na Matamko,zinafutwa kwa Elimu na Technolojia,na siasa Bora.Utumwa wa fikra huu.
Ambao magufuli alikuwa anataka KUUFUTA.
Utumwa huo wa kifikra haufuti kwa Kauli na Matamko,zinafutwa kwa Elimu na Technolojia,na siasa Bora.
Yuko wapi?Utumwa wa fikra huu.
Ambao magufuli alikuwa anataka KUUFUTA.
Yuko wapi?
Wewe endelea kuota, eti alitaka, sasa mbona hakufanya? Kutaka na kutenda ni tuvitu tuwili tofauti. Arishundwa kujilinda na colons ndio aweze kujenga kiwanda!Wewe endeleq kusubiri condom za bure za mabeberu.
Ila magufuli alitaka ununue condom imeandikwa" made in tanzania ".
TATIZO VIZURI HAVIDUMU.
yapo pia sikatai magufuli alikuwa na mapungufu yake makubwa
Acha kuota mchana, sikiliza hii hapaYaani waache kuweka vitu vibaya jwa namiaka yote hio waje kyweka Leo? Tuhache kuota
Saaa hizi huku niripo ni 6:35am kwahio niko swahihi kuotaAcha kuota mchana, sikiliza hii hapa
Wewe endelea kuota, eti alitaka, sasa mbona hakufanya? Kutaka na kutenda ni tuvitu tuwili tofauti. Arishundwa kujilinda na colons ndio aweze kujenga kiwanda!
Hizo kondomu za msd utavaa wewe na washamba wenzako..Kiwanda cha kondomu tumeshaanza kujenga cha kwetu kwa pesa zetu wenyewe hapo MSD. Kitatoa kondomu bora sana kwa watanzania vyenye usalama wa uhakika. Haya makondomu ya misaada tunaachana nayo kwani huwezi kujua usalama wake. Wanaweza wakakuwekkea mavitu mengine ya ajabu ajabu kwenye makondomu hayo.
Hii topic wacha usiiguse, wacha leo niko safarini. Nitapata muda tujadili kuhusu viwanda na unambie viko wapi leo hii, ule wimbo wa viwanda uliishia wapi?hakuna viwanda alivyojenga?
Kamala kama kamala.View attachment 1730473
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi hizo mbili. Alisema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.
Kamala Harris aliandika historia pia ya kuwa Mwanamke wa kwanza na pia mmarekani mweusi wa kwanza kushika nafasi ya Makamu wa Rais nchini Marekani.
====
"Sending best wishes to @SuluhuSamia following her swearing in as Tanzania's new President - the first woman to hold the office. The United States stands ready to work with you to strengthen relations between our countries," she wrote.
Hii topic wacha usiiguse, wacha leo niko safarini. Nitapata muda tujadili kuhusu viwanda na unambie viko wapi leo hii, ule wimbo wa viwanda uliishia wapi?