Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

Wewe endeleq kusubiri condom za bure za mabeberu.
Ila magufuli alitaka ununue condom imeandikwa" made in tanzania ".
TATIZO VIZURI HAVIDUMU.
yapo pia sikatai magufuli alikuwa na mapungufu yake makubwa
Hazina mafuta, afu ni ndogo yani kiufupi ni vimini....watuletee tu zao mabeberu
 
Kiwanda cha kondomu tumeshaanza kujenga cha kwetu kwa pesa zetu wenyewe hapo MSD. Kitatoa kondomu bora sana kwa watanzania vyenye usalama wa uhakika. Haya makondomu ya misaada tunaachana nayo kwani huwezi kujua usalama wake. Wanaweza wakakuwekkea mavitu mengine ya ajabu ajabu kwenye makondomu hayo.
Dunia haina watu wenye roho mbaya za kiwango hicho kama mlivyo nyie. Na vipi kuhusu bombadia tutajenga kakiwanda chetu au vita ya kiuchumi haihusiki huko?
 
Back
Top Bottom