Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27 kutoka Taifa hilo

Serikali ya Urusi imesema Watu hao wamezuiwa kuingia Nchini humo kwa muda usiojulikana, ikiwa ni hatua ya kujibu vikwazo vinavyozidi kuongezeka dhidi ya Urusi

Tangu vita kuanza Nchini Ukraine, Viongozi na Watu mashuhuri kutok Mataifa kadhaa yakiwemo Marekani, Uingereza na Canada wamepigwa marufuku kuingia Urusi

========

Russia on Thursday expanded an entry ban on U.S. officials to include U.S. Vice-President Kamala Harris and 28 other American officials, businesspeople and journalists.

The sanctions list, published by the Russian foreign ministry, included Facebook founder Mark Zuckerberg, Deputy Defence Secretary Kathleen Hicks and Pentagon spokesperson John Kirby, among others.

"These individuals are denied entry into the Russian Federation indefinitely," the Russian foreign ministry said in a statement.

Source: Reuters
 
Bado naendelea kuzitafuta hasara watakazopata hao viongozi waliozuiliwa kuingia Urusi.

Labda kama walikuwa na maslahi makubwa ya kibinafsi ndani ya Urusi. Kinyume na hapo, nada!
 
Back
Top Bottom