Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1679973346278.png

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara katika Nchi hizi tatu ndani ya Wiki hii.

Mtandao maarufu wa Billboard umeitaja orodha hiyo ya Wasanii wa Nchi hizi tatu na nyimbo zao ambazo Wapenzi wa Muziki Duniani wanaweza kusikiliza kupitia Spotify na platform nyingine lengo likiwa ni kukuza Wasanii na mdundo wa Kiafrika hususani kutoka kwa Wasanii wa Ghana, Tanzania na Zambia.

Wasanii wa Tanzania ambao wamo kwenye orodha hiyo ni pamoja na Harmonize na wimbo wake mpya ambao video yake imeachiwa rasmi leo ya Single Again, pia Zuchu (Utaniua), Alikiba (Mahaba) Jay Melody (Sawa), Mbosso (Shetani), Jux & Marioo (Nice Kiss), Darassa (No Body) , Marioo & Abbah (Lonenly), Platform & Marioo (Fall).

Tayari Kamala ameanza ziara Barani Afrika na anatarajia kuwasili Nchini Tanzania Machi 29, 2023 ambapo pamoja na mengine anayoyapa kipaumbele kwenye ziara yake ikiwemo maendeleo ya kiuchumi, mabadiliko ya tabia nchi, usalama wa chakula na ongezeko la idadi ya vijana pia anatarajia kukutana na Wasanii wa Kiafrika ikiwemo wale ambapo wapo kwenye playlist yake ili kuongea nao na kuona namna bora ya kuufikisha muziki wao kwenye masoko makubwa ya muziki Marekani.
photo-output-8-scaled.jpg
 
Hongera nyingi kwa Wasanii waliotajwa, imeboost sana mziki wao,
i see my boy Darassa, hii kubwa sana, nobody & mind yo business zipo kwenye playlist yangu,

Konde Boy salute sana wimbo mkali,

Jay Melody 'una kitu utafika mbali sana' in Zomboko's voice [emoji1]

Mfalme mwenyewe Kiba, sina mengi zaidi ya kusema Ahsante kwa Mziki mzuri, Long Live The King.[emoji119]
 
Inanikumbusha wakati wa J.M.Kikwete na NBA player wake. No pun Intended. Sasa naona
Tusubiri Award moja kwenda kwa hawa jamaa kati ya 25 kwenye listi na kuwaona wakihutubia na kusononeka haki ya ushoga walikotoka wakiwa jukwaani?
Na hayo masononeko hayatokuwa ya kuigiza. Itakuwa ni ya kweli kutoka mioyoni mwao. Inasadikika tasnia ya muziki imejaa mashoga wengi mno kwa hapa Tanzania.

Utastaajabu hata yule anaejinasibu kuwa shababi kuliko wote akawa ndio mpumuliwa kisogoni mkuu.
 
Nawajua wengi tu.
Wakati wa Gen yangu haya nayo tuliyazungumzia sana tu,tofauti ya sasa na kule nyuma ni wepesi wa habari kusambaa. Na imechangiwa na Tehama..... Interneti Simunjanja n.k. Lakini ukweli upo pale pale ushoga ulikuwepo na haukuwa wa wazi kama tunavyoona sasa. Mimi sishangai.

Tanzania imekuwa na mashoga na kuna mpaka makabila mwanamke kukaa na mwanamke mjane ni jambo la kawaida...

Waarabu wamebaka sana Watanzania. Mapdre wamebaka sana hivyo basi, sodomi sio ngeni.....ni uwazi.

Watanzania, again nyakati hizi ni uwezo wa habari kusambaa kwa haraka, hivyo basi, kusema "Umeongezeka" kwa maoni yangu ni uwongo, ila kusema ushoga umekuwa wazi wazi naafiki na ndipo msuguano/mkwaruzano ulipo. Unafikiri Ushoga haupo Uarabuni? au Zanzibar Zanzibar? au Nchi yeyote ile?

Hawa mabeberu wanajua hayo, ila wanatumia kama silaha ya ku 'Control'. Ni sera zao.

Humu Jf kuna watu huwa sijui wanajisahau au wanaondoa ufahamu.... Unakuta mtu anashabikia "haki" ya mashoga, kwenye uzi mmoja halafu unamkuta anakasirika na komment za kwenye uzi zingine(e.g biashara n.k) ndio unamkuta huyo huyo anayezagaa zagaa kwenye maposti na kuwaita wenzake mashoga

Hivyo basi, siwezi kustaajabu mtu "kupumuliwa" kisogoni kwani wote....mabakaji na wanaopumuliwa ni wamoja.
 
Unakataa kitu umebandika mwenyewe?
Ulibandika haya
Kweli China imewakaba kooni kwa hapa Afrika, lazima wajikombe kwa namna yoyote ile

Kwa sasa mshirika mkubwa wa Afrika ni China
Chini ndivyo nilivyoongezea kufuatana na mtiririko....

Tatizo lao hao ni kutuweka tik tok tukiwa watupu. Uchi uchi tuu....mnamkumbuka yule waliomkurupua Zambia?. au malawi.......akirekodi watoto?
Kilichokuwa sio kweli ni nini?
 
View attachment 2568241
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara katika Nchi hizi tatu ndani ya Wiki hii.

Mtandao maarufu wa Billboard umeitaja orodha hiyo ya Wasanii wa Nchi hizi tatu na nyimbo zao ambazo Wapenzi wa Muziki Duniani wanaweza kusikiliza kupitia Spotify na platform nyingine lengo likiwa ni kukuza Wasanii na mdundo wa Kiafrika hususani kutoka kwa Wasanii wa Ghana, Tanzania na Zambia.

Wasanii wa Tanzania ambao wamo kwenye orodha hiyo ni pamoja na Harmonize na wimbo wake mpya ambao video yake imeachiwa rasmi leo ya Single Again, pia Zuchu (Utaniua), Alikiba (Mahaba) Jay Melody (Sawa), Mbosso (Shetani), Jux & Marioo (Nice Kiss), Darassa (No Body) , Marioo & Abbah (Lonenly), Platform & Marioo (Fall).

Tayari Kamala ameanza ziara Barani Afrika na anatarajia kuwasili Nchini Tanzania Machi 29, 2023 ambapo pamoja na mengine anayoyapa kipaumbele kwenye ziara yake ikiwemo maendeleo ya kiuchumi, mabadiliko ya tabia nchi, usalama wa chakula na ongezeko la idadi ya vijana pia anatarajia kukutana na Wasanii wa Kiafrika ikiwemo wale ambapo wapo kwenye playlist yake ili kuongea nao na kuona namna bora ya kuufikisha muziki wao kwenye masoko makubwa ya muziki Marekani.
photo-output-8-scaled.jpg
Na ww umeamini ni kweli? Yaani makamo wa Rais kweli akae atulie asikilize hayo matakataka?
 
Back
Top Bottom