Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

Huu uongo tuu kama uongo mwingine ni moja kati ya mbinu ya kutaka kujisogeza Africa baada ya china kuchukua karibu Kila sehemu, na hata nchi anazofika ni washirika wakubwa wa china, na nadhani kuna kitu kinaendelea chini kwa chini kwakua Dunia haina Siri tutafahamu hivi karibuni
 
Na ww umeamini ni kweli? Yaani makamo wa Rais kweli akae atulie asikilize hayo matakataka?
Kusikiliza si kweli kwamba amesikiliza, it's just politics na imempa mileage ndiyo maana hata hapa anajadiliwa. Ni sawa na wewe leo uende Bolivia au Albania eti utoe orodha ya nyimbo unazozikubali whilst schedules zako ni tight, kwanza amesikiliza nyimbo ngapi mpaka akapata muda wa kuchagua(ukizingatia haelewi kinachoimbwa) ila kisiasa waliolipanga hilo wamefanya jambo zuri kwani wamefanikiwa kuwaamisha wale wenye uelewa mdogo kuamini kwamba hiyo orodha ni ya Kamala Harris mwenyewe.
 
These illiterates are so brainwashed, sina uhakika kama watakuelewa(watakubaliana nawe).
 
So what? Miafrika bhana hovyo kabisa.
 
Ushirika wa China ni Maumivu maana ukichelewa kuwalipa wanachukua Airport kama Zambia na Sri Lanka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtajua hamjuiii.
 
Kwahiyo makamu wa Rais anamsikilizaga Zuchu? ahahahaha kuna mtu kaandaa hii sio makamu
 
Vp alifanikiwa kukutana nao
 
Mondi awamtaki kisa anatangaza vijana watafute Hela mademu watakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…