#COVID19 Makamu wa Rais wa USA alikutana na Rais Samia. Ni vyema Rais akirudi akae karantini kwa kuwa aliyekutana nae amekutwa na COVID-19

Chanjo zinazuia nini kama si maambukizi?
 
Ina maana hadi leo bado hajarudi? Nadhani atakuwa amevunja rekodi ya Rais kuwa nje ya nchi yake kwa muda mrefu zaidi.
 
Covid19 bado ipo tuendelee kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuchanja.

Get well soon Madam Vice President Kamala.
 
Wasije wakasema ameambukizwa na wanaziara kutoka Tanzania...hawakawii kutudondoshea Jumba bovu
 
Sisi tunatembeaga na covid19 bila kujua tunao,na tunaishi nao tu bila bughudha
,
huenda ss ndo tumempelekea kamala uviko,(nani ajuaye)
 
Itakua wale walinzi wa jiwe maana wao wengi bado walikua hawajachanja waliishia ku feki vyeti tu kwaajili ya ulaji wa safari ya USA wakati enzi zao waliita huko ni kwa mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…