#COVID19 Makamu wa Rais wa USA alikutana na Rais Samia. Ni vyema Rais akirudi akae karantini kwa kuwa aliyekutana nae amekutwa na COVID-19

#COVID19 Makamu wa Rais wa USA alikutana na Rais Samia. Ni vyema Rais akirudi akae karantini kwa kuwa aliyekutana nae amekutwa na COVID-19

Wakuu habari.....!! Nimeona taarifa kwamba Kamala Haris amekutwa na covid 19 . Na juzi Kati nasikia alikutana na Mkuu fulani wa nchi....je Kuna haja ya huyo mkuu nae kujitenga kwa muda na je ataweza kukubari ?
 
Back
Top Bottom