TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Apr 27, 2022 #21 mbingunikwetu said: Ina maana hadi leo bado hajarudi? Nadhani atakuwa amevunja rekodi ya Rais kuwa nje ya nchi yake kwa muda mrefu zaidi. Click to expand... Acheni aendelee aseee, maana anaupiga mwingi na kuifungua nchi.
mbingunikwetu said: Ina maana hadi leo bado hajarudi? Nadhani atakuwa amevunja rekodi ya Rais kuwa nje ya nchi yake kwa muda mrefu zaidi. Click to expand... Acheni aendelee aseee, maana anaupiga mwingi na kuifungua nchi.
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,713 Reaction score 6,121 Apr 27, 2022 #22 Pascal Mayalla said: Please stop this stupid insinuation!. Unajua amekutana na watu wengine wangapi baada ya kukutana na Mama?. P Click to expand... Mama awekwe quarantine
Pascal Mayalla said: Please stop this stupid insinuation!. Unajua amekutana na watu wengine wangapi baada ya kukutana na Mama?. P Click to expand... Mama awekwe quarantine
Mengi Ayoub Member Joined Apr 20, 2022 Posts 56 Reaction score 46 Apr 27, 2022 #23 Wakuu habari.....!! Nimeona taarifa kwamba Kamala Haris amekutwa na covid 19 . Na juzi Kati nasikia alikutana na Mkuu fulani wa nchi....je Kuna haja ya huyo mkuu nae kujitenga kwa muda na je ataweza kukubari ?
Wakuu habari.....!! Nimeona taarifa kwamba Kamala Haris amekutwa na covid 19 . Na juzi Kati nasikia alikutana na Mkuu fulani wa nchi....je Kuna haja ya huyo mkuu nae kujitenga kwa muda na je ataweza kukubari ?
T Tanganyika Kwetu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 221 Reaction score 175 Apr 27, 2022 #24 Idugunde said: Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi View attachment 2201972 👇 Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19 View attachment 2201984 Click to expand... Get well very soon Kamala
Idugunde said: Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi View attachment 2201972 👇 Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19 View attachment 2201984 Click to expand... Get well very soon Kamala
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,778 Reaction score 4,859 Apr 27, 2022 #25 Pascal Mayalla said: Please stop this stupid insinuation!. Unajua amekutana na watu wengine wangapi baada ya kukutana na Mama?. P Click to expand... Stop panicking Pasi. Jamaa naye anajaribu ku raise awareness kwa rais wetu wewe unachukulia ni attacks.
Pascal Mayalla said: Please stop this stupid insinuation!. Unajua amekutana na watu wengine wangapi baada ya kukutana na Mama?. P Click to expand... Stop panicking Pasi. Jamaa naye anajaribu ku raise awareness kwa rais wetu wewe unachukulia ni attacks.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Apr 27, 2022 #26 Wamarekani walisema tu kuwa Tanzania kuna korona.