Makamu wa Raisi Dkt. Mpango yupo kikazi nchi gani?

Great Thinkers.

Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.

Anayejua aliko Dr Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..

Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Ndugu yangu wewe ni mtu mzima, na lazima uelewe!

Ukishaona jambo linafichwa bila sababu zozote za msingi basi ujue kuna siri na utata ndani yake. Hivyo kuwa mpole, mvumilivu na endelea na dua njema ili yaliyopo nyuma ya pazia yaje kuwa mema.

Sasa kukusaidia tu, haiwezekani mtu mwenye cheo kikubwa kwenye serikali awepo ndani au nje ya nchi kiofisi na watu wasijue. Hivyo za chini chini (kutoka kwa wasaidizi wake wa karibu sana) wanasema ni kweli mzee alikwenda nje ya nchi kisiri lakini kwa sasa habari zake hazijulikani na haziruhusiwi kujulikana na yoyote mpaka mamlaka zitakapo amua kutujulisha.


Eeh Mungu tuepulishie na yote mabaya yajayo.
 
Basi sawa watasema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…