Makamu wa Raisi Dkt. Mpango yupo kikazi nchi gani?

Basi kama lisemwalo ni kweli,

Hangaya atakuwa ni presidaa mwenye bahati mbaya sana.

Coz akiwa makamu aliondokewa na kiongozi wake wa juu,

Akiwa presidaa akaondokewa na kiongozi wake wa chini.

This is sad
 
Great Thinkers.

Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.

Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..

Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Ziara kikazi hospital labda....maana ziara miezi 2 haiishii ? Majaliwa hapendezi kuwa muongo...tunasubiri aumwe yeue tuone nani atadanganya juuu yake
 
Great Thinkers.

Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.

Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..

Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Kama umeamua kubishana na waziri mkuu mimi nani nikubishie?
Wewe endelea kusikiliza hayo mashetani yako yaliyogoma.
 
Hebu tuwe optimistic, labda yupo nje kwa ajili ya private medical check up. Tusiwaze mabaya mda wote.
Mpango yuko likizo ya matibabu.
Mtu akishakuwa likizo, mambo yake yanakuwa private. Kama yuko nyumba ndogo au kama kaenda kijijini kusalimia wazee, ni masuala binafsi.
Thread closed!
Mbona Wananchi walitulia walipoambiwa Prof. J anaumwa na ilikuwa siri mpaka alipopata nafuu...hata hakuna aliyejua ugonjwa wake
 
Great Thinkers.

Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.

Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..

Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.

Yupo Marekani Los Angeles kwenye kongamano la kidunia la wachana mbao.
 
Great Thinkers.

Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.

Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..

Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Fununu North korea kwenye mkutano wa nchi kuishi kwa propoganda
 
Back
Top Bottom