Makamu wa Raisi Dkt. Mpango yupo kikazi nchi gani?

Dah!...
 
ni Makamu Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, afya yake siyo siri, na sisi wananchi tuna wajibu wa kujuzwa hali yake, si ombi bali ni takwa la kikatiba & sheria.
Vuta subra. Akipona atakuja kujieleza mwwnyewe...
 
Kwani wakisema au wasiposema kuna hasara yoyote au faida?? Watu mmekosa ishu za kufanya na kujadili mnarukia hoja zisizo na tija..
Huenda wakisema mishahara inaongezeka.

Inawezekana watu hawataki kujua alipo kwa sababu ni kiongozi wa uma, watu wanataka kupiga lomoni kuhusu ugonjwa wake au mauti yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…