othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Una nchi nyingine ya kwenda? We ndio wa hovyo, tulia subiri kauli ya serikali we hakuna unalojua, we kajitafutie mkate wakoHii ni shida yaani hadi afya ya makamu wa Raisi.nayo nongwa. Nchi ya hovyo sana hii
Kakwambia nani? Hiyo kitu aliacha kitambo. Siku hizi ni mwendo wa bangi tuuuSubira yavuta heri.
Ziara kikazi hospital labda....maana ziara miezi 2 haiishii ? Majaliwa hapendezi kuwa muongo...tunasubiri aumwe yeue tuone nani atadanganya juuu yakeGreat Thinkers.
Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.
Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..
Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Ona sasa huyu nayeViherehere vitawaponza, unataka hata akienda kunya akuage pumbavu wewe
Kama umeamua kubishana na waziri mkuu mimi nani nikubishie?Great Thinkers.
Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.
Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..
Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
EritreaGreat Thinkers.
Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.
Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..
Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
wanatakiwa waseme ukweli ziara gani ya kalibia mwezi na kituGreat Thinkers.
Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.
Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..
Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Hebu tuwe optimistic, labda yupo nje kwa ajili ya private medical check up. Tusiwaze mabaya mda wote.
Mbona Wananchi walitulia walipoambiwa Prof. J anaumwa na ilikuwa siri mpaka alipopata nafuu...hata hakuna aliyejua ugonjwa wakeMpango yuko likizo ya matibabu.
Mtu akishakuwa likizo, mambo yake yanakuwa private. Kama yuko nyumba ndogo au kama kaenda kijijini kusalimia wazee, ni masuala binafsi.
Thread closed!
Great Thinkers.
Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.
Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..
Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Fununu North korea kwenye mkutano wa nchi kuishi kwa propogandaGreat Thinkers.
Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.
Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..
Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Amefanyiwa upasuaji wa koromeo ndio afya njemaYupo na afya njema, hivi karibuni ataanza kuonekana hadharani akiwa na tabasamu la kutosha.
Hahahaaa....Kakwambia nani? Hiyo kitu aliacha kitambo. Siku hizi ni mwendo wa bangi tuuu
Tushawazoea kusema uongo hawajui wanazid kuthibitisha walivyo waovyo kbsaGreat Thinkers.
Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.
Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..
Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Ungefafanua wataponzwaje,ili nawengine waache viherehere.Viherehere vitawaponza, unataka hata akienda kunya akuage pumbavu wewe
Mmh [emoji23][emoji23][emoji23]Mi namuamini Waziri Mkuu hawezi kudanganya.