"MAKANDOKANDO" Kisingizio kipya cha Yanga sasa baada ya kuonekana kushindwa

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Kauli mbiu ya vyura fc saivi ni "kama hakuna makandokando tutashinda" hii ni dalili ya kushindwa hii kwanni uanze kuogopa?

Kwanzia muhamasishaj waoi mpaka shabiki lao 1 tu,mm nawaambia kuwa Mungu sio mbaguzi aipendelee timu moja ipate maumivu. Hakuna cha kuomba wala kuombewa kipigo kipo pale pale nyie ombeni Mungu mshinde sie bidii na mazoezi yataifanya simba ishinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kauli hii inatumiwa na muhamasishaji wao, ila Simba kesho ina kazi moja tu, ni kuoa haiwezekani mke ajianda kwa sale kiasi kile alafu, Simba asiende kuoa, mke yupo nyumbani kwa wazazi wake sisi kwa umoja wetu tupambe magari yetu tukaoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni miongoni mwa mikia ambao wana matokeo mfukoni...tusubiri.,isije ikawa ni miongoni mwa wabunja viti uwanjani...
 
haya yanga, mtashinda 17 kwa sufuriiii.
"kumpa matumaini mgonjwa ni jambo la kujali sana"
haya piga makofi na ushangilie sasa
Mikia kwa propaganda bwana mko vizuri..pamoja na miamala...mpaka Sasa mianya imezibwa Kila mahali mpaka vyumbani mahotelini na kwenye magari...
 
Kwa hiyo kesho Simba wakitufunga chanzo kitakuwa Makando kando na siyo kwamba ni ubora wa watani zetu Simba?
Yanga ni timu yangu naipenda na nimekuwa shabiki nguli kabisa wa Yanga lakini niseme jambo moja tu kuwa kwa sasa hatuna timu ya kuifunga Simba, kwa sasa tujikite tu kujenga timu yetu.
Yanga for life.
 
tukutane saa 20:00 kuujadili mpira.
usiku mwema
 
Asante sana na unafaa dana pale jangwani... ndugu zako wamejiandaa kisaikolojia kuwa wakipigwa basi ujue ni makandokando tu wala sio uwezo
Kwa hiyo kesho Simba wakitufunga chanzo kitakuwa Makando kando na siyo kwamba ni ubora wa watani zetu Simba?
Yanga ni timu yangu naipenda na nimekuwa shabiki nguli kabisa wa Yanga lakini niseme jambo moja tu kuwa kwa sasa hatuna timu ya kuifunga Simba, kwa sasa tujikite tu kujenga timu yetu.
Yanga for life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo hayana chama

Sent using OnePlus 6T Maclean Edition
 
Asante sana na unafaa dana pale jangwani... ndugu zako wamejiandaa kisaikolojia kuwa wakipigwa basi ujue ni makandokando tu wala sio uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
natamani magoli ya simba yawe yamefungiwa nje ya 18 na pasikuwepo na dalili yoyote ya offside wala tusifunge goli kupitia penati wala faulu ili wapate aibu, mwisho wa siku waingie migogoro wao kwa wao na kufukuza kocha
 
Ujue simba anaweza kutufunga goli zaidi ya tatu na ile milion 200 tuione kama picha ya samaki katika kipindi ambacho tunahangaika kutafuta mboga?
 
Kauli mbiu ya vyura fc saivi ni "kama hakuna makandokando tutashinda" hii ni dalili ya kushindwa hii kwanni uanze kuogopa?

Kwanzia muhamasishaj waoi mpaka shabiki lao 1 tu,mm nawaambia kuwa Mungu sio mbaguzi aipendelee timu moja ipate maumivu. Hakuna cha kuomba wala kuombewa kipigo kipo pale pale nyie ombeni Mungu mshinde sie bidii na mazoezi yataifanya simba ishinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si mmezoea figusu Wakuda nyie, toka lini mikia mkaweza kucheza Mpira subiri kesho ukalie mboo ya mzungu
 
Kwa hiyo kesho Simba wakitufunga chanzo kitakuwa Makando kando na siyo kwamba ni ubora wa watani zetu Simba?
Yanga ni timu yangu naipenda na nimekuwa shabiki nguli kabisa wa Yanga lakini niseme jambo moja tu kuwa kwa sasa hatuna timu ya kuifunga Simba, kwa sasa tujikite tu kujenga timu yetu.
Yanga for life.
Hujazaliwa Dar wewe...
 
Ujue simba anaweza kutufunga goli zaidi ya tatu na ile milion 200 tuione kama picha ya samaki katika kipindi ambacho tunahangaika kutafuta mboga?
labda wamfunge mama yako
 
natamani magoli ya simba yawe yamefungiwa nje ya 18 na pasikuwepo na dalili yoyote ya offside wala tusifunge goli kupitia penati wala faulu ili wapate aibu, mwisho wa siku waingie migogoro wao kwa wao na kufukuza kocha
wazee wanaweza kupiga mashuti nje ya 18??
 
Itakuwa kama unavosema

Back
Top Bottom