Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa ambalo lipo hapo karibu na Mnazi mmoja (la mabati) limekuwa nikero.
Ikifika alasiri wanaweka flash basi inapiga kelele mpaka saa 3 usiku, kisha wanapumzisha SAA moja tu, wanaweka tena saa 4-5 usiku na kupiga kelele usiku kucha mpaka saa mbili asubuhi.
Hii imekuwa ni kero endelevu kwa makanisa haya.
Naiomba Serikali kutoa tamko, watu hawalali kwa kanisa moja tuu kupiga kelele usiku kuchwa, sasa hata kama ni kuabudu sio kwa kupitiliza namna hii.