FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
- #101
It is Generated Username. Mi mwenyewe siwezi kuikumbukaBado naitafakari user name yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is Generated Username. Mi mwenyewe siwezi kuikumbukaBado naitafakari user name yako
Bora Umelitambua hilo Mkuu. Usione Watu wanaanzisha Makanisa Kila Mara. Wameshatambua Siri iliyopo kwenye Makanisa Haya Makubwa.Sadaka zote hizo utfikiri kodi ya wavuvi
Hao watu wanapata wapi ujasiri wa kutoa hela zote kwa mtu mmoja?
Unampita masikini barabarani unajifanya humuoni na hela unazo mfukoni kumbe unapeleka kanisani ambapo hela zote hizo ndio zimezungusha uzio na kujenga maduka 100 na kila mwezi wanakusanya kodi zaidi ya 5m kiulaini
Kweli wajinga waliwao
Utakatifu wa mtu anaujua MUNGU tuKwani Hao wanaoitwa Watakatifu huko Makanisani si Mizimu!? Mpaka Muone Wengine wanaendelea na Mizimu Wakati hata huko makanisani Wapo Pia
Ila Duniani wapo Wanaoitwa Watakatifu ila Si Aliwaita MunguUtakatifu wa mtu anaujua MUNGU tu
Ndio machoni pa watu wanaonekana watakatifu ila kwa MUNGU ni wenye dhambiIla Duniani wapo Wanaoitwa Watakatifu ila Si Aliwaita Mungu
Hata wewe unaweza Kujiita Tu Mtakatifu. Maana Kamili ya Neno Takatifu ni Kitu Kilichofuliwa Kikatolewa uchafu na Kikawekwa Mahala pake au Mtu kuwa Nadhifu. Ila Si kwamba Neno Mtakatifu lina Maana Hana Dhambi..Ndio machoni pa watu wanaonekana watakatifu ila kwa MUNGU ni wenye dhambi
Et eeehHata wewe unaweza Kujiita Tu Mtakatifu. Maana Kamili ya Neno Takatifu ni Kitu Kilichofuliwa Kikatolewa uchafu na Kikawekwa Mahala pake au Mtu kuwa Nadhifu. Ila Si kwamba Neno Mtakatifu lina Maana Hana Dhambi..
Dhambi ni kufanya Jambo ambalo Unajua kuwa ni Dhambi ila Ukafanya Wewe unakuwa Umechuma dhambi. Ila Kufanya Jambo ambalo hujui Kuwa Ni Dhambi unakuwa umefanya Ovu. (Maovu)
Kariaakoo watakatifu wapo wengi Ila ni Wezi wanaibia Watu huku wamevaa Suti zao tuEt eeeh
Bora Umelitambua hilo Mkuu. Usione Watu wanaanzisha Makanisa Kila Mara. Wameshatambua Siri iliyopo kwenye Makanisa Haya Makubwa.
Yanajilimbikizia Mali sana. Yanaanzisha Miradi mikubwa mikubwa. Vyuo vikubwa.. Makanisa makubwa..Shule.. Mashamba.. mifugo...Viwanja.. Kumbi za Sherehe
Sasa Jiulize Mapato yanamfaidisha Vipi muumini Wa Kawaida. HUTOPATA JIBU. Ukihoji sana Wanakuambia Wanasambaza Injili maana Yake Wanasambaza zaidi Miradi maana Huko wanakosambaza Wakifika Wananunua Maeneo makubwa na Mapori halafu wanafungua Kituo Kidogo au Shule Wana target ya Miaka 100 mbele. Maeneo waliyonunua Yanapanda Thamani mara 1000
Hahahah wao wanajiita watakatifu ila kiuhalisia sio watakatifuKariaakoo watakatifu wapo wengi Ila ni Wezi wanaibia Watu huku wamevaa Suti zao tu
Mkuu maagizo hayo yalilenga hasa wakati wa agano la kale ili kuwapatia makuhani na walawi mahitaji Yao maana kati ya kabila 12 za Israeli, kabila la Lawi halikugawiwa urithi wa ardhi. Wao alikuwa na jukumu la kuhudumu hekaluni. Katika agano jipya hakuna zaka na hata ukisoma vema historia ya kanisa hapakuwa na zaka katika kanisa la mwanzo. Ikija baadae baada ya kanisa kuanza urafiki na utawala wa Waroma. Kwa Sasa hatuna Tena makuhani wala walawi wala hekalu halipo. Tupo kwenye zama zingine.Ni uchu wa pesa tu unawafanya watu kulazimisha zaka na kwa sababu waumini wengi hawayajui maandiko wala historia vema basi ndio watu watumia mwanya huo kupiga pesa.Ni Kama Kuna ujumbe fulani Unataka kuufikisha lakini kwa andiko hili wengi watapoteza mwelekeo..!
Mungu Katika Biblia ameagiza 'Nitoleeni Fungu la Kumi sababu hiyo ni haki yangu, na akaongeza nijaribuni Kwa njia hiyo Muone kama sitawafungulia madirisha ya Mbinguni.!
Kuna sehemu ameagiza 'pandeni juu milimani mkalete miti mnijengee Kanisa...!
Yote hayo ili Jina Lake Litukuzwe.
Ukitafakari Hayo Utagundua Michango na Sadaka kwa Mungu siyo Hiari ni Lazima...!
Nafikiri shida yako mtoa Mada ni Baadhi wa wanaokusanya hiyo michango na Sadaka Hawatumii kwa Malengo Yaliyokusudiwa...!
Ushauri : Wewe Hapo Ulipo Ukiona Sadaka zako Zinapigwa ...Hama tu.
Nilishawahi kupost hilo andiko miaka ya nyuma watu wiokuwa wanashabikia zaka wakakimbia. Mtu anaambiwa tu toa fungu la kumi leta kanisani wala hajui hata wakati wa agano la kale zaka ilikuwa inatumikaje. Hatuna fungu la kumi kwenye agano jipya.Kumbukumbu la torati
Maagizo kuhusu fungu la kumi
22 Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika mavuno yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. 23 Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng'ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wako, daima. 24 Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako; 25ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako; 26na zile fedha zitumie kwa chochote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako chochote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako; 27 na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
28 Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la mavuno yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako; 29 na Mlawi kwa kuwa hana fungu wala urithi pamoja nawe, na mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe, walio ndani ya malango yako, na waje wale na kushiba; ili kwamba BWANA, Mungu wako, akubarikie katika kazi yote ya mkono wako uifanyayo.
Hujaipata Maana Yangu Hapo. Nilikuwa namaanisha Watakatifu (Watu Nadhifu) wapo kariaakoo wengi tu wamevaa Suti Na Wamepemdeza ila Ndio wanakuibia Yaani ni WeziHahahah wao wanajiita watakatifu ila kiuhalisia sio watakatifu
Ukweli siku zote Huja Taratibu na Hudumu Ila Uongo huja Kwa Kasi na Hupotea Kwa Kasi. Sasa Watu washawagundua Kwamba ni waongoNakumbuka kuna siku waliweka maspika nje ya kanisa wakawa na ugeni
Yule mgeni rasmi akapewa mic
akawasalimia na sisi tuko mbali kidogo na mambo yetu
Akasema ni lazima mnunue mashamba kwa jina la kanisa hata ekari 1000 kwa vizazi vijavyo
Hawa jamaa ni matapeli sana kwenye maduka yao walipa kodi wengi ni waumini wao na kila miaka 5 kodi inapanda na ujenzi unajenga wewe na ukarabati juu yako
Biashara inalipa hii
Sasa siku hizi hawahubiri upendo wala kuwaambia hao waumini wasiuwe na wasiibe ila sasa unakuta wauwaji wengi ni wao (rejea matukio ya mauwaji sasa hivi )
Watu kila leo wanawaza sadaka atapeleka nini jumapili hasira anaamua kuuwa tu [emoji23][emoji23]
Watamalizana sana mpaka waje kugundua mchawi yumo humo ni miaka
Mkuu hawa hawaelewi kabisa na wanaona kabisa akienda hospitali zilizojengwa kwa hela zao hapewi hata panadol ya bure akiwa hana hela
Ni mambo ya ajabu sana
Hata Hayo Maagizo ya Kumbukumbu ya Torati ya Chunguze kwa Makini. Utaona Ni Kwamba Aliyeandika ana Uchu na MaliMkuu maagizo hayo yalilenga hasa wakati wa agano la kale ili kuwapatia makuhani na walawi mahitaji Yao maana kati ya kabila 12 za Israeli, kabila la Lawi halikugawiwa urithi wa ardhi. Wao alikuwa na jukumu la kuhudumu hekaluni. Katika agano jipya hakuna zaka na hata ukisoma vema historia ya kanisa hapakuwa na zaka katika kanisa la mwanzo. Ikija baadae baada ya kanisa kuanza urafiki na utawala wa Waroma. Kwa Sasa hatuna Tena makuhani wala walawi wala hekalu halipo. Tupo kwenye zama zingine.Ni uchu wa pesa tu unawafanya watu kulazimisha zaka na kwa sababu waumini wengi hawayajui maandiko wala historia vema basi ndio watu watumia mwanya huo kupiga pesa.
Exactly......🤜Ni Kama Kuna ujumbe fulani Unataka kuufikisha lakini kwa andiko hili wengi watapoteza mwelekeo..!
Mungu Katika Biblia ameagiza 'Nitoleeni Fungu la Kumi sababu hiyo ni haki yangu, na akaongeza nijaribuni Kwa njia hiyo Muone kama sitawafungulia madirisha ya Mbinguni.!
Kuna sehemu ameagiza 'pandeni juu milimani mkalete miti mnijengee Kanisa...!
Yote hayo ili Jina Lake Litukuzwe.
Ukitafakari Hayo Utagundua Michango na Sadaka kwa Mungu siyo Hiari ni Lazima...!
Nafikiri shida yako mtoa Mada ni Baadhi wa wanaokusanya hiyo michango na Sadaka Hawatumii kwa Malengo Yaliyokusudiwa...!
Ushauri : Wewe Hapo Ulipo Ukiona Sadaka zako Zinapigwa ...Hama tu.
Bibilia inasema fungu la kumi itakuwa wewe na familia yako sasa mbona wachungaji wanakula wenyewe.Kumbukumbu la torati
Maagizo kuhusu fungu la kumi
22 Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika mavuno yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. 23 Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng'ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wako, daima. 24 Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako; 25ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako; 26na zile fedha zitumie kwa chochote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako chochote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako; 27 na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
28 Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la mavuno yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako; 29 na Mlawi kwa kuwa hana fungu wala urithi pamoja nawe, na mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe, walio ndani ya malango yako, na waje wale na kushiba; ili kwamba BWANA, Mungu wako, akubarikie katika kazi yote ya mkono wako uifanyayo.
Nimeipenda hiyoSasa Hivi Wasomi wanazidi kuwa Wengi wajinga Wanapungua Kwa Kasi na Serikali ndio hiyo Inazidi kujenga Madarasa hata Kama Haijui Itawapeleka wapi hao wasomi inaowajengea madarasa
Waumini wenu wanaokuja Makanisani (wale wenye Akili Timamu) Wanaona Jinsi gani Mnavyoyaendesha Makanisa Bila Wao Kufaidia Directly na hizo pesa Mnazosema Mnampelekea Mungu wakati ukweli ni Kwamba Hazifiki kwa Mungu bali mnazipigia Bajeti zenu za Kujinufaisha Au Kutengeneza Future Za Maisha Na Makanisa Yenu na Kuanzisha Miradi ambayo haimnufaishi Muumini Directly
Hakuna Siri kwamba Makanisa Hapa Nchini yamekuwa yakikusanya Michango.. Sadaka.. Shukrani..Harambee...Bahasha...Michango ya Redio...n.k Milioni na Bilioni kwa Mwaka Zinakusanywa Katika Makanisa. ila Msaada kwa Waumini kama Waumini husika haiendi Directly Kitu ambacho Kinasababisha hata Watu kuona Wanachotwa Mifukoni kwa Kisingizio cha Watabarikiwa au Wanamtolea Mungu
Mfano 1: Leo hii Muumini Apate Ugonjwa au Kuzeeka Asijiweze. Kanisa Linakaa Pembeni waumini ndio wachange Tena Pesa katika Jumuiya zao Na Pengine Asipoudhuria Misa au Jumuiya ingawa Ni Muumini Aliyekuwa Anachangia Anapotezewa kama Vile ni Mpagani tu
Katika Vikundi mbalimbali hapa Nchini Watu wanachanga Pesa Na wanauliza Zitawanufaisha Vipi wao kama Wao either wakiwa Wameugua Au Wakiwa Na Sherehe au Kifo. Kitu Ambacho waumini Ambao wamepumbazwa Wanashindwa Kuulizia Sadaka na Michango yao Kanisani itawasaidia nini Katika maisha Mmoja Mmoja.
Wameambiwa Sadaka Ni Za Mungu wakati Wakishazitoa Wanaona Majengo, viwanja, Mashule na Mahospitali yanajengwa bila Wao kuwapewa hata Asilimia moja Ya Mapato kutoka Katika Vyanzo hivyo.
Na Wakijaribu Kupeleka Watoto au Wao wenyewe wanakutana Na Bei ambayo hata Asiyemuumini Anatozwa hiyo hiyo Pesa haijalishi.
Fungukeni Macho Mnapigwa kwa Kivuli cha Mnamtolea Mungu. Hii Siri Baada ya Wengine Kuijua Wameamua na Wao kufungua makanisa kwa Kasi na Wanaendelea Kupiga Pesa maana Waumini akili timamu Hazipo Zimeshafubazwa kwa Kuambiwa Mungu ndie Anayetolewa
Wakati Huyo Mungu kwanza Haitaji kitu chochote kile Kutoka Kwako maana Hana Mapungufu kama Wewe ulivyo. Yeye kakamilika Haitaji sadaka wala Dhabihu wala Kitu Chochote kutoka Kwako maana Huwezi Mlipa Chochote.
Umekuwa Muumini Wa Muda Mrefu mpaka Unazeeka Hapo. Kanisa Lako halina hata Account ya Kusaidia Waumini wake wanapopatwa na Matatizo. Hivi hamuoni Mmechanganyikiwa na Mnaendeshwa Kunufaisha Watu. Kazi yako ni Kupeleka Fungu la Kumi kanisani ambalo wenye Nalo wanaenda Kuweka Mabati kwenye Miradi ya Kanisa
Jisaidieni Nyie kwa Nyie. Pelekeni Fungu la Kumi mnalotoa huko Kanisani kwa Watu wenye Mahitaji maana Mungu ndio kawaumba Hivyo ,msaidianeni Nyie kwa Nyie si kumpelekea Binadamu mwenzako Pesa Halafu Yeye anakuhadaa eti Unampa Mungu.
Chukueni Pesa zenu Pelekeni wagonjwa..Pelekeeni Watoto Yatima Wanautunzwa Na Watu..wasaidieni wazee walio majumbani Hawana Uwezo wa Kujipatia Vyakula Wakat kanisa lako hilo Likisubiri Afe ili Lije Limpe Upako Tu na Kumzika na likimkuta Haudhulii Misa Linamuacha
Mtu anapata Ajali ya Gari tena Unakuta ni Mahala pa Kijijini anaokolewa na Mwanakijiji hapo anamuwahisha Hospitali anapatiwa matibabu. Halafu kwa Sababu Akili timamu hana anachukua Pesa anaenda Kutoa Shukurani kwa Mchungaji au anapeleka Sadaka Ya Shukurani kanisani. Aliyemuokoa Kule Kijijini na Hospitali waliomtibu hawakumbuki
Hivi wewe unategemea utabarikiwa wewe. Au ndio mabalaa ya Maisha Yatakuandama. Yaani Yule Mwanakijiji aliyekutoa Kwenye Gari na Kukuokoa Hana Maana Na Sometimes alikuwa anajipitia Tu ..kwanini Usiende Kumpa Yule na Hao wa Hospitali waliokusaidia Ukapona Wangekuacha Je Huyo mungu wa Huko Kanisani na Kwa Mchungaji wako angekuja Kukupeleka hospitali. Tujitambue Wana Ndugu tumepotoshwa sana na Tumepotoka Kweli kweli
Tutumie Akili Timamu na Tumwabudu Mungu asiyetaka Vitu bali Aliyeumba Vitu vyote bila Yeye Kukutaka Kitu Chochote kile kutoka Kwako. Huyo ndio Mungu wa Kweli hana Mapungufu ya Kutaka Taka Vitu. Si Kama ukimnyima Anakuchukia na Kukupa Mabalaa hapa Duniani hakuna Mungu wa Hivyo
Asanteni
kutoa natoa lakini sio kiwango cha kutaka sifa kama weweUkiona mtu anasononeka kama wewe ujue maisha yako ni magumu sana, usilalamikie kanisa lalamikia serikali kupandisha bei vitu, ndio jibu lako msisingizie makanisa coz miaka na miaka yapo hivyo hivyo wewe nani umezaliwa juzi tu eti unaliwa??!! Unajitafutia laana ungehama tu amia din nyingine ambayo haitoi sadaka
Ni wakristo wachache mno wanaoijua biblia vema. Asilimia 99 wao ni kusikiliza ikisomwa na mhubiri na kupewa tafsiri atakayo mhubiri kwa maslahi yake. Ujinga huu sijui utatuisha lini.Bibilia inasema fungu la kumi itakuwa wewe na familia yako sasa mbona wachungaji wanakula wenyewe.