Kambulanga
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 261
- 97
Hayo pia ni mawazo yakoMungu hajaandika Chochote kile hayo ni Mawazo ya Kibinadamu Tu Yaliyowekwa Kwenye Maandishi. Kwahiyo ni kupoteza Muda kusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo pia ni mawazo yakoMungu hajaandika Chochote kile hayo ni Mawazo ya Kibinadamu Tu Yaliyowekwa Kwenye Maandishi. Kwahiyo ni kupoteza Muda kusoma
Sema Wewe Wapi Mungu aliandika Kitabu!? Vitabu vyote Vimeandikwa na BinadamuHayo pia ni mawazo yako
We kama unadhani utakatifu ni kuvaasuti basi vaa utakuja kuonaHujaipata Maana Yangu Hapo. Nilikuwa namaanisha Watakatifu (Watu Nadhifu) wapo kariaakoo wengi tu wamevaa Suti Na Wamepemdeza ila Ndio wanakuibia Yaani ni Wezi
Tafuta maana Ya Utakatifu kwenye Kamusi ya Kiswahili. Mana Yake ndio hiyo Takatifu ni Nguo iliyofuliwa na Kuwa Safi na Kuwekwa Mahala pake kama Vile kabatini. Mtu akiichukua Ile akaivaa na Yeye akiwa ameoga basi Mtu huyo ndie anakuwa MtakatifuWe kama unadhani utakatifu ni kuvaasuti basi vaa utakuja kuona
Utaenda Kuisha maana Sasa Hivi Makanisani Si Sehemu ya Kutatua Matatizo Ya Watu imekuwa Sehemu ya BiasharaNi wakristo wachache mno wanaoijua biblia vema. Asilimia 99 wao ni kusikiliza ikisomwa na mhubiri na kupewa tafsiri atakayo mhubiri kwa maslahi yake. Ujinga huu sijui utatuisha lini.
Umri na uelewaSema Wewe Wapi Mungu aliandika Kitabu!? Vitabu vyote Vimeandikwa na Binadamu
Yaani Kitabu ni cha Yohana ila Anayesimulia si Yohana. Kitabu ni cha Matendo ya Mitume ila Anayeyasimulia hayo Si Mitume
Pambaneni na maisha yenu msiliangukie kanisa ni aibu sadaka yenyewe unatoa jero jumapili tu bado unalalamika unaliwa aisee umasikini mbaya sana, hama hamia din nyingine wewe mnatia kinyaa🙄🙄🙄 kwakweli mfumuko wa bei watu watakuwa vichaa kabisaaWewe ndugu Mbona Unang'ania Maisha maisha maisha.. Kwahiyo watu wasijadili Kisa Wana Maisha Magumu kuna Mtu ameweka Akaunti yake Katika hii mada na Maisha anayoishi. Jadili Mada Husika Usi attack Personal issues
Hama hamia din nyingine wewe ni nani mbaka uongee hivyo kwanza wewe sio mkristo coz wakristo hawawezi kuongea utumbo kama huu wako, kaangalie sadaka zinatumikaje na kama hujui wakristo wote unaowaona wanatoa michango hujadiliana wafanye nini kama kuna ujenzi au kitu kingine nakushangaa sana😲😲😲 hamia din nyingine itapendeza zaidi kuliko kuongea hapa uonekane mjanja kumbe unachekwa kwa dharau sana😏😏😏 wewe wawapi??Nyie bado mmepumbazwa. Hiyo serikali ingekuwa inakukata Kodi Halafu haijengi Barabara na Kukuwekea Huduma za Afya nahisi akili yako ingekaa sawa. Usisingizie watu wana Maisha magumu kwa Kuhisi hisi kwenye mada Hatujaweka Akaunti zetu za Benki na miradi ungeona Nani ni Masikini na Mwenye maisha Magumu.
Kinachoongelewa hapa Kikae Akilini mwako ujue Unaibiwa kwa Kupumbazwa
Hao mruki wametumwa kuuchafua ukristo..sadaka tangu lini ikamfanya mtu awe masikini..mana unatoa kadri ya uwezo wako na ulivyobarikiwa..hakuna mtu anayekushikia bunduki ili utoe..mana sio lazima.Hama hamia din nyingine wewe ni nani mbaka uongee hivyo kwanza wewe sio mkristo coz wakristo hawawezi kuongea utumbo kama huu wako, kaangalie sadaka zinatumikaje na kama hujui wakristo wote unaowaona wanatoa michango hujadiliana wafanye nini kama kuna ujenzi au kitu kingine nakushangaa sana[emoji44][emoji44][emoji44] hamia din nyingine itapendeza zaidi kuliko kuongea hapa uonekane mjanja kumbe unachekwa kwa dharau sana[emoji57][emoji57][emoji57] wewe wawapi??
Na mtu akisema hatoi... Atafanywaje... hatoi sasa kaamua..Wewe mtoa mada hujui kitu kurasa ndeeefu haina hata mstari mmoja kuthibitisha uo uharo wako,Mimi naamini yote ni mawazo yako binafsi kama huna huna hela nenda Sali Rudi kwako.acha umbea eti wasomi wanaongezeka kwani huko chuo kikuu wanafundishwa kuwa makanisa ni wezi!!!,Sadaka ni lazima kwa mkristo soma Biblia.
hayo maandishi ya bible ndiyo yanayofanya wajinga wapigwe pesa zao..Ni Kama kuna ujumbe fulani Unataka kuufikisha lakini kwa andiko hili wengi watapoteza mwelekeo!
Mungu Katika Biblia ameagiza 'Nitoleeni Fungu la Kumi sababu hiyo ni haki yangu, na akaongeza nijaribuni Kwa njia hiyo Muone kama sitawafungulia madirisha ya Mbinguni.
Kuna sehemu ameagiza 'pandeni juu milimani mkalete miti mnijengee Kanisa.
Yote hayo ili Jina Lake Litukuzwe.
Ukitafakari Hayo Utagundua Michango na Sadaka kwa Mungu siyo Hiari ni Lazima.
Nafikiri shida yako mtoa Mada ni Baadhi wa wanaokusanya hiyo michango na Sadaka Hawatumii kwa Malengo Yaliyokusudiwa.
Ushauri : Wewe Hapo Ulipo Ukiona Sadaka zako Zinapigwa. Hama tu.
Najua Itakuwa Ngumu wao Kuelewa kwa Sasa ila Baadae Watafunguka Akili zao zilizolazwa kwa Miaka 2000+mtoa mada umepoteza energy zako bure hawatakuelewa hao. wengine wanaona kama unakufuru yaani anasoma uzi wako huku anakemea pepo
Wewe mtoa mada hujui kitu kurasa ndeeefu haina hata mstari mmoja kuthibitisha uo uharo wako,Mimi naamini yote ni mawazo yako binafsi kama huna huna hela nenda Sali Rudi kwako.acha umbea eti wasomi wanaongezeka kwani huko chuo kikuu wanafundishwa kuwa makanisa ni wezi!!!,Sadaka ni lazima kwa mkristo soma Biblia.
1. UtatishwaNa mtu akisema hatoi... Atafanywaje... hatoi sasa kaamua..
Wewe ndio una ufinyu wa Kufikiri. Hivi ushajiuliza Serikali yako inakusanyaje Kodi. Makampuni ya Simu yanakusanyaje Makato hizo Hizo Mia 2 na mia 5 mnazokatatwa ndio zinajenga NchiPambaneni na maisha yenu msiliangukie kanisa ni aibu sadaka yenyewe unatoa jero jumapili tu bado unalalamika unaliwa aisee umasikini mbaya sana, hama hamia din nyingine wewe mnatia kinyaa[emoji849][emoji849][emoji849] kwakweli mfumuko wa bei watu watakuwa vichaa kabisaa
Mungu hana Dini Usilazimishe "Hama Hama Hama Hama" utadhani huyo Mungu ana Dini zote zimeanzishwa na Binadamu hazina Maana Hata MojaHama hamia din nyingine wewe ni nani mbaka uongee hivyo kwanza wewe sio mkristo coz wakristo hawawezi kuongea utumbo kama huu wako, kaangalie sadaka zinatumikaje na kama hujui wakristo wote unaowaona wanatoa michango hujadiliana wafanye nini kama kuna ujenzi au kitu kingine nakushangaa sana[emoji44][emoji44][emoji44] hamia din nyingine itapendeza zaidi kuliko kuongea hapa uonekane mjanja kumbe unachekwa kwa dharau sana[emoji57][emoji57][emoji57] wewe wawapi??