Makanisa Nchini Mjitafakari

Makanisa Nchini Mjitafakari

Hayo pia ni mawazo yako
Sema Wewe Wapi Mungu aliandika Kitabu!? Vitabu vyote Vimeandikwa na Binadamu

Yaani Kitabu ni cha Yohana ila Anayesimulia si Yohana. Kitabu ni cha Matendo ya Mitume ila Anayeyasimulia hayo Si Mitume
 
Unakuta Sa hii kuna mtu kalipa Tsh 30,000 awekewe whatsapp, Tiktok, Instergram na Facebook. Watu wapo hawaishi.
 
We kama unadhani utakatifu ni kuvaasuti basi vaa utakuja kuona
Tafuta maana Ya Utakatifu kwenye Kamusi ya Kiswahili. Mana Yake ndio hiyo Takatifu ni Nguo iliyofuliwa na Kuwa Safi na Kuwekwa Mahala pake kama Vile kabatini. Mtu akiichukua Ile akaivaa na Yeye akiwa ameoga basi Mtu huyo ndie anakuwa Mtakatifu
 
Ni wakristo wachache mno wanaoijua biblia vema. Asilimia 99 wao ni kusikiliza ikisomwa na mhubiri na kupewa tafsiri atakayo mhubiri kwa maslahi yake. Ujinga huu sijui utatuisha lini.
Utaenda Kuisha maana Sasa Hivi Makanisani Si Sehemu ya Kutatua Matatizo Ya Watu imekuwa Sehemu ya Biashara
 
Wewe ndugu Mbona Unang'ania Maisha maisha maisha.. Kwahiyo watu wasijadili Kisa Wana Maisha Magumu kuna Mtu ameweka Akaunti yake Katika hii mada na Maisha anayoishi. Jadili Mada Husika Usi attack Personal issues
Pambaneni na maisha yenu msiliangukie kanisa ni aibu sadaka yenyewe unatoa jero jumapili tu bado unalalamika unaliwa aisee umasikini mbaya sana, hama hamia din nyingine wewe mnatia kinyaa🙄🙄🙄 kwakweli mfumuko wa bei watu watakuwa vichaa kabisaa
 
Nyie bado mmepumbazwa. Hiyo serikali ingekuwa inakukata Kodi Halafu haijengi Barabara na Kukuwekea Huduma za Afya nahisi akili yako ingekaa sawa. Usisingizie watu wana Maisha magumu kwa Kuhisi hisi kwenye mada Hatujaweka Akaunti zetu za Benki na miradi ungeona Nani ni Masikini na Mwenye maisha Magumu.

Kinachoongelewa hapa Kikae Akilini mwako ujue Unaibiwa kwa Kupumbazwa
Hama hamia din nyingine wewe ni nani mbaka uongee hivyo kwanza wewe sio mkristo coz wakristo hawawezi kuongea utumbo kama huu wako, kaangalie sadaka zinatumikaje na kama hujui wakristo wote unaowaona wanatoa michango hujadiliana wafanye nini kama kuna ujenzi au kitu kingine nakushangaa sana😲😲😲 hamia din nyingine itapendeza zaidi kuliko kuongea hapa uonekane mjanja kumbe unachekwa kwa dharau sana😏😏😏 wewe wawapi??
 
Hama hamia din nyingine wewe ni nani mbaka uongee hivyo kwanza wewe sio mkristo coz wakristo hawawezi kuongea utumbo kama huu wako, kaangalie sadaka zinatumikaje na kama hujui wakristo wote unaowaona wanatoa michango hujadiliana wafanye nini kama kuna ujenzi au kitu kingine nakushangaa sana[emoji44][emoji44][emoji44] hamia din nyingine itapendeza zaidi kuliko kuongea hapa uonekane mjanja kumbe unachekwa kwa dharau sana[emoji57][emoji57][emoji57] wewe wawapi??
Hao mruki wametumwa kuuchafua ukristo..sadaka tangu lini ikamfanya mtu awe masikini..mana unatoa kadri ya uwezo wako na ulivyobarikiwa..hakuna mtu anayekushikia bunduki ili utoe..mana sio lazima.

Huyo ni mamruki tu..wakupuuza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe mtoa mada hujui kitu kurasa ndeeefu haina hata mstari mmoja kuthibitisha uo uharo wako,Mimi naamini yote ni mawazo yako binafsi kama huna huna hela nenda Sali Rudi kwako.acha umbea eti wasomi wanaongezeka kwani huko chuo kikuu wanafundishwa kuwa makanisa ni wezi!!!,Sadaka ni lazima kwa mkristo soma Biblia.
 
Na mtu akisema hatoi... Atafanywaje... hatoi sasa kaamua..
 
Ni Kama kuna ujumbe fulani Unataka kuufikisha lakini kwa andiko hili wengi watapoteza mwelekeo!

Mungu Katika Biblia ameagiza 'Nitoleeni Fungu la Kumi sababu hiyo ni haki yangu, na akaongeza nijaribuni Kwa njia hiyo Muone kama sitawafungulia madirisha ya Mbinguni.

Kuna sehemu ameagiza 'pandeni juu milimani mkalete miti mnijengee Kanisa.

Yote hayo ili Jina Lake Litukuzwe.

Ukitafakari Hayo Utagundua Michango na Sadaka kwa Mungu siyo Hiari ni Lazima.

Nafikiri shida yako mtoa Mada ni Baadhi wa wanaokusanya hiyo michango na Sadaka Hawatumii kwa Malengo Yaliyokusudiwa.

Ushauri : Wewe Hapo Ulipo Ukiona Sadaka zako Zinapigwa. Hama tu.
hayo maandishi ya bible ndiyo yanayofanya wajinga wapigwe pesa zao..
 
Wewe mtoa mada hujui kitu kurasa ndeeefu haina hata mstari mmoja kuthibitisha uo uharo wako,Mimi naamini yote ni mawazo yako binafsi kama huna huna hela nenda Sali Rudi kwako.acha umbea eti wasomi wanaongezeka kwani huko chuo kikuu wanafundishwa kuwa makanisa ni wezi!!!,Sadaka ni lazima kwa mkristo soma Biblia.

Mbona Hasira Lete Hoja yako. Ni Lazima Kwako na Familia yako Ili mmpigwe zaidi na Zaidi. Si mnadanganywa Zinaenda Kwa Mungu. Endeleeni kutoa Na Muwajemgee na Wachungaji wenu Nyumba na Magari Mnunue Ambayo yatakuwa Urithi kwa Watoto wao na Si Wewe
 
Na mtu akisema hatoi... Atafanywaje... hatoi sasa kaamua..
1. Utatishwa
2. Utaonekana wa Hovyo
3. Utaambiwa Muumini Usiye Hai
4. Wataenda Mbali Zaidi na Kusema Hawakuziki

Halafu Wanasema Mungu yupo Popote. Bora Ukae Pembeni utafute Mungu wa Kweli umwabudu. Maana Mungu washambadilisha Amekuwa Mtaka Vitu asivyovihitaji
 
Pambaneni na maisha yenu msiliangukie kanisa ni aibu sadaka yenyewe unatoa jero jumapili tu bado unalalamika unaliwa aisee umasikini mbaya sana, hama hamia din nyingine wewe mnatia kinyaa[emoji849][emoji849][emoji849] kwakweli mfumuko wa bei watu watakuwa vichaa kabisaa
Wewe ndio una ufinyu wa Kufikiri. Hivi ushajiuliza Serikali yako inakusanyaje Kodi. Makampuni ya Simu yanakusanyaje Makato hizo Hizo Mia 2 na mia 5 mnazokatatwa ndio zinajenga Nchi

Tuwe na Akili zilizo timamu. Makanisa yashakusanya Kiasi Gani na Kukuwezesha wewe muumini kwa Jambo Lolote la Maana zaidi ya Kuchukua Mifukoni mwa Waumini wake Kila Uchwao

Wewe Utakuwa Unaenda Kanisani Ili Mradi uonekane Umeenda. Na Akili umeziacha Home
 
Hama hamia din nyingine wewe ni nani mbaka uongee hivyo kwanza wewe sio mkristo coz wakristo hawawezi kuongea utumbo kama huu wako, kaangalie sadaka zinatumikaje na kama hujui wakristo wote unaowaona wanatoa michango hujadiliana wafanye nini kama kuna ujenzi au kitu kingine nakushangaa sana[emoji44][emoji44][emoji44] hamia din nyingine itapendeza zaidi kuliko kuongea hapa uonekane mjanja kumbe unachekwa kwa dharau sana[emoji57][emoji57][emoji57] wewe wawapi??
Mungu hana Dini Usilazimishe "Hama Hama Hama Hama" utadhani huyo Mungu ana Dini zote zimeanzishwa na Binadamu hazina Maana Hata Moja
 
Back
Top Bottom