Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!). Sasa tumalize hili tatizo kwa kuhakiki matoleo/sadaka na matumizi yake. UTOAJI HUU HOLELA UNAOWAFANYA MATAPELI KUWA MABILIONEA SI UTARATIBU WA BIBLIA. http://archives.cpajournal.com/2002/0902/nv/nv4.htm