Hiyo haipo sababu wao ndo waanzilishi unawapangiajeNajua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!). Sasa tumalize hili tatizo kwa kuhakiki matoleo/sadaka na matumizi yake. UTOAJI HUU HOLELA UNAOWAFANYA MATAPELI KUWA MABILIONEA SI UTARATIBU WA BIBLIA. http://archives.cpajournal.com/2002/0902/nv/nv4.htm
Wamekuruka nn mpwaaa
Wacha wapigwe mpwaaa mjini akiliNo way. Nawaonea tu huruma maskini wa akili!
Naihesabu kama criminal offence. Wizi wa mchana kweupe. Utapeli ni kumuaminisha mtu product au service isiyokuwepo. Kwa nini hawachukuliwi hatua za kisheria? Au mtu akijificha kwenye kichaka cha dini mkono wa sheria haufiki huko?Hiyo haipo sababu wao ndo waanzilishi unawapangiaje
Nakuelewa mkuu lakini ni lazima tupate suluhu ya kulinusuru taifa letu dhidi ya janga hili. HILI NI JANGA LA KITAIFA. Serikali yetu ifanye jambo. Tukisema acha wajinga wapigwe hatutakuwa tumesaidia watu. Hawa watu wadhibitiwe kwa accounting records za hayo wanayopata kutoka kwa waumini. Hope it will help.Kwani mnalazimishwa kwenda kwenye hayo makanisa?
Si mna jipelekaga wenyewe?
Nabii Dominick Kiboko ya wachawi aliwachana live watanzania, Kwamba ukitaka maombi ya bure kaombewe na Baba yako.
Ila ukienda kwa manabii kutafuta miujiza na uponyaji, Lazima uende na HELA. Na hili halina mjadala.
Hutaki kaa nyumbani kwako, Jiombee mwenyewe.
Tuwasaidie Watanzania wenzetu kuwatokomeza hawa matapeli. HILI NI JANGA. Viongozi tuliowachagua na kuwapa dhamana walitupie macho.M dadayangu alikuwa anapeleka kodi kwa kiboko mpaka ndoa ikavunjika sasahivi anadanga tu
Iko taasisi inayosajili makanisa nadhani ndani ya wizara ya mambo ya ndani lakini sijawahi kuona impact yoyote kwenye huu utapeli hasa wa makanisa ya kikristo. Utapeli kila mahali. Manabii, mitume, maaskofu yaani upuuzi mtupu. Sifa mbaya kabisa kwa imani yangu ya kikristo.Mimi naomba kuuliza je kuna regulatory body ambayo ni special kwa ajili ya taasisi za kidini? Mfano Ewura kwa nishati, Bot kwa mabenk, TCRA , LATRA etc
Kama hatuna basi tunahitaji. Maana tunakoelekea ni kubaya.
Inabidi atokee Raisi kama Paul kagame apige marufuku hawa wachungaji uchwara na manabii uchwara.Nakuelewa mkuu lakini ni lazima tupate suluhu ya kulinusuru taifa letu dhidi ya janga hili. HILI NI JANGA LA KITAIFA. Serikali yetu ifanye jambo. Tukisema acha wajinga wapigwe hatutakuwa tumesaidia watu. Hawa watu wadhibitiwe kwa accounting records za hayo wanayopata kutoka kwa waumini. Hope it will help.
Unataka wao wale wapiNajua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!). Sasa tumalize hili tatizo kwa kuhakiki matoleo/sadaka na matumizi yake. UTOAJI HUU HOLELA UNAOWAFANYA MATAPELI KUWA MABILIONEA SI UTARATIBU WA BIBLIA. http://archives.cpajournal.com/2002/0902/nv/nv4.htm
Siyo tu kwamba tunakoelekea ni kubaya ila TULISHAFIKA TAYARI PABAYA SANA. People have been robbed in plain daylight. Nimefika mahali pa kujiuliza mama ya nchi ina hofu kuwagusaMimi naomba kuuliza je kuna regulatory body ambayo ni special kwa ajili ya taasisi za kidini? Mfano Ewura kwa nishati, Bot kwa mabenk, TCRA , LATRA etc
Kama hatuna basi tunahitaji. Maana tunakoelekea ni kubaya.
Najua wapo wateule wetu humu wanatusoma. Chukueni hatua kulinusuru taifa letu.Inabidi atokee Raisi kama Paul kagame apige marufuku hawa wachungaji uchwara na manabii uchwara.
Vinginevyo watu watazidi kupigwa sana.
Kwenye imani na makanisa waumini ndio wenye kiu ya kutapeliwa.
Inawezekana kuweka hata electronic payment gatewayNani atakaepewa hili jukumu na asiibe hizo sadaka?
Basi kama wanaruhusiwa kula kwa utapeli asikamatwe mwizi yeyote na kuhukumiwa.Unataka wao wale wapi