I promise you hakuna elimu itakayosaidia kuwatoa watu kwenye huu utapeli wa kiimani. Ni law enforcement pekee yenye nguvu hiyo. Mamlaka ifanye kama ilivyokataza genital mutilation kwa wanawake.Kwa mujibu wa katiba ya nchi kuna uhuru wa kuabudu, serikali haingilii ibada za raia wake japo kama kunahatarisha amani na usalama wa raia hapo serikali huingilia kati. Hili la abrakadabra za maji na mafuta ya upako na sadaka za ajabuajabu raia watajua wenyewe huko wanakoamini madikodiko hayo. Hata maganga ya kienyeji nayo yanawapiga wananchi wenye shida na matamanio fulani. Cha maana ni elimu tu ndio mkombozi wa kadhia zote hizo
UTOAJI HUU HOLELA UNAOWAFANYA MATAPELI KUWA MABILIONEA SI UTARATIBU WA BIBLIA.ππ¨Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!). Sasa tumalize hili tatizo kwa kuhakiki matoleo/sadaka na matumizi yake. UTOAJI HUU HOLELA UNAOWAFANYA MATAPELI KUWA MABILIONEA SI UTARATIBU WA BIBLIA. http://archives.cpajournal.com/2002/0902/nv/nv4.htm
Thanks Mshana. Nimeambatanisha link ya kuonyesha accounting procedures katika masuala ya kifedha kibiblia. Siyo siku hizi mhubiri anataka utume pesa kwenye simu yake!!!!UTOAJI HUU HOLELA UNAOWAFANYA MATAPELI KUWA MABILIONEA SI UTARATIBU WA BIBLIA.ππ¨
Wewe mwenyewe ndo unaenda kwa utashi wako umeshaona wanalazimisha mtu??? Acha wapigweBasi kama wanaruhusiwa kula kwa utapeli asikamatwe mwizi yeyote na kuhukumiwa.
Kwa amri ya nani?Inawezekana kuweka hata electronic payment gateway
Wacha watu wapigwe hela ndo akili zitawakaa sawa.Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!). Sasa tumalize hili tatizo kwa kuhakiki matoleo/sadaka na matumizi yake. UTOAJI HUU HOLELA UNAOWAFANYA MATAPELI KUWA MABILIONEA SI UTARATIBU WA BIBLIA. http://archives.cpajournal.com/2002/0902/nv/nv4.htm
Ukute na papa alimpa!M dadayangu alikuwa anapeleka kodi kwa kiboko mpaka ndoa ikavunjika sasahivi anadanga tu