Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
[emoji3][emoji3][emoji3] na kukusanya mapesa kutoka kwaoMlokole na biashara wapi na wapi???---- wao kazi yao ni kutoa mapepo kwa wanawake tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] na kukusanya mapesa kutoka kwaoMlokole na biashara wapi na wapi???---- wao kazi yao ni kutoa mapepo kwa wanawake tu.
[emoji3][emoji3][emoji3] na kukusanya mapesa kutoka kwao
Kwanini wasi invest hizo pesa wapate zaidi?Na hiyo ndiyo biashara yao kubwa sana, "kupora" pesa za waumini.
Ndipo tilipofikia mkuuKweli tumeshindwa kupata watu binafsi au wawekezaji mpaka tunataka makanisa ... tunarudi zama zile za wamissionari ....aaahhhhh ...Kanisani Kazi yake ni kuhubiri na kuleta amani
Tujijemge wenyewe na think tank wetu tutafika mbali
Kwani ni ajabu makanisa kuwekeza wakuu, mbona mataifa yote yamejengwa na nguvu ya kanisa, tawala zenyewe zimeanzia kanisani. Chanzo cha mataifa yote si ni kanisa au.Ndipo tilipofikia mkuu
Yesu aliacha agizo kwa kanisa "lihubiri injili, wampokee Yesu na kuokoka " na si kujenga viwanda[ufalme wa dunia hii]Habarini za Leo wapendwa.
Kama kichwa kinavyo someka hapo juu. Ni juu ya makanisa yetu mbalimbali yaliyopo Tanzania.
Sote tunajua jinsi makanisa yetu yanavyo toa mchango katika sekta ya elimu na afya. Kuna shule nyingi sana zinazotoa elimu bora kwa wototo wetu zilizojengwa na makanisa. Lakini pia si hivyo tu kuna vyuo vingine pia vimejengwa na makanisa na hivi navyosema vinaendelea kudahili na kutoa elimu bora kwa watoto wetu.
Katika swala la upande wa afya, nako pia tunaona mchango wa haya makanisa jinsi yalivyo fanya kazi kubwa, fedha zao za michango kanisani zimejenga hospitali ambazo ndugu zetu na Sisi wenyewe tunapata huduma za afya.
Hivyo basi kutokana na mchango muhimu namna hii wa makanisa katika maendeleo ya nchi yetu mimi Nadhani yanaweza pia kuwekeza kwenye kuanzisha baadhi ya viwanda ambavyo havihitaji mitaji mikubwa mfano viwanda vya madawa n.k.
Viongozi wa dini kama mpo humu ndugu zangu tunawategemea sana katika taifa letu maana kazi zenu zinatembea na mkono wa bwana siku zote na ndio maana zinafanikiwa.
Wekezeni pia kwenye viwanda, ili watoto wanaosoma katika vyuo na shule zenu waajiriwe kwenye viwanda hivyo hivyo. Hili swala linawezekana ndugu zangu. Pia watapata nafasi kufanya mazoezi ya vitendo kwenye viwanda vyenu wenyewe.
Tunajua mnaweza, binafsi mimi nimeshiriki sana katika vikao vya wababa kanisani kiukweli huwa tunajiwekea malengo makubwa sana na kwa mkono wa bwana huwa mambo yetu yanafanikiwa.
Tunaona jinsi ambavyo mnaweza kujenga makanisa makubwa ya ghorofa kwa uvumilivu na ustahimilivu wa hali juu bila kuchoka tena kwa muda mrefu kwa moyo mmoja na ushirikiano kwa kutumia nguvu ya kanisa.
Kwakweli Mungu awabariki sana. Amen.
Kufilisika kifikra kunaanzia hapa.Habarini za Leo wapendwa.

umetendwa na kuja hapa jukwaani kuhara.Mlokole na biashara wapi na wapi???---- wao kazi yao ni kutoa mapepo kwa wanawake tu.
tatizo uelewa wako ni mdogo, mataifa yote unayo yaona yameanzia kwenye dini mkuu.Kufilisika kifikra kunaanzia hapa.
Papa ana kiwanda gani cha magari, sigara, pombe au nguo mkuu.tatizo uelewa wako ni mdogo, mataifa yote unayo yaona yameanzia kwenye dini mkuu.
Habarini za Leo wapendwa.
Kama kichwa kinavyo someka hapo juu. Ni juu ya makanisa yetu mbalimbali yaliyopo Tanzania.
Sote tunajua jinsi makanisa yetu yanavyo toa mchango katika sekta ya elimu na afya. Kuna shule nyingi sana zinazotoa elimu bora kwa wototo wetu zilizojengwa na makanisa. Lakini pia si hivyo tu kuna vyuo vingine pia vimejengwa na makanisa na hivi navyosema vinaendelea kudahili na kutoa elimu bora kwa watoto wetu.
Katika swala la upande wa afya, nako pia tunaona mchango wa haya makanisa jinsi yalivyo fanya kazi kubwa, fedha zao za michango kanisani zimejenga hospitali ambazo ndugu zetu na Sisi wenyewe tunapata huduma za afya.
Hivyo basi kutokana na mchango muhimu namna hii wa makanisa katika maendeleo ya nchi yetu mimi Nadhani yanaweza pia kuwekeza kwenye kuanzisha baadhi ya viwanda ambavyo havihitaji mitaji mikubwa mfano viwanda vya madawa n.k.
Viongozi wa dini kama mpo humu ndugu zangu tunawategemea sana katika taifa letu maana kazi zenu zinatembea na mkono wa bwana siku zote na ndio maana zinafanikiwa.
Wekezeni pia kwenye viwanda, ili watoto wanaosoma katika vyuo na shule zenu waajiriwe kwenye viwanda hivyo hivyo. Hili swala linawezekana ndugu zangu. Pia watapata nafasi kufanya mazoezi ya vitendo kwenye viwanda vyenu wenyewe.
Tunajua mnaweza, binafsi mimi nimeshiriki sana katika vikao vya wababa kanisani kiukweli huwa tunajiwekea malengo makubwa sana na kwa mkono wa bwana huwa mambo yetu yanafanikiwa.
Tunaona jinsi ambavyo mnaweza kujenga makanisa makubwa ya ghorofa kwa uvumilivu na ustahimilivu wa hali juu bila kuchoka tena kwa muda mrefu kwa moyo mmoja na ushirikiano kwa kutumia nguvu ya kanisa.
Kwakweli Mungu awabariki sana. Amen.
umetendwa na kuja hapa jukwaani kuhara.
Siku mumeo /hawara wako akipagawa na mapepo utawakumbuka hao walokole unaowasema hapa.
Mlokole ni mtu aliyempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha uake.
Mlokole wito wake ama wito wa wakristo wote ni "kuwafanya mataifa/gentiles kumwanini Yesu " maana wameagizewa kujenga ufalme wa mbinguninambao ni wa kudumu tofauti na huu wa dunia wenye mwisho
Kiwanda siyo kusudi kuu la kanisaHabarini za Leo wapendwa.
Kama kichwa kinavyo someka hapo juu. Ni juu ya makanisa yetu mbalimbali yaliyopo Tanzania.
Sote tunajua jinsi makanisa yetu yanavyo toa mchango katika sekta ya elimu na afya. Kuna shule nyingi sana zinazotoa elimu bora kwa wototo wetu zilizojengwa na makanisa. Lakini pia si hivyo tu kuna vyuo vingine pia vimejengwa na makanisa na hivi navyosema vinaendelea kudahili na kutoa elimu bora kwa watoto wetu.
Katika swala la upande wa afya, nako pia tunaona mchango wa haya makanisa jinsi yalivyo fanya kazi kubwa, fedha zao za michango kanisani zimejenga hospitali ambazo ndugu zetu na Sisi wenyewe tunapata huduma za afya.
Hivyo basi kutokana na mchango muhimu namna hii wa makanisa katika maendeleo ya nchi yetu mimi Nadhani yanaweza pia kuwekeza kwenye kuanzisha baadhi ya viwanda ambavyo havihitaji mitaji mikubwa mfano viwanda vya madawa n.k.
Viongozi wa dini kama mpo humu ndugu zangu tunawategemea sana katika taifa letu maana kazi zenu zinatembea na mkono wa bwana siku zote na ndio maana zinafanikiwa.
Wekezeni pia kwenye viwanda, ili watoto wanaosoma katika vyuo na shule zenu waajiriwe kwenye viwanda hivyo hivyo. Hili swala linawezekana ndugu zangu. Pia watapata nafasi kufanya mazoezi ya vitendo kwenye viwanda vyenu wenyewe.
Tunajua mnaweza, binafsi mimi nimeshiriki sana katika vikao vya wababa kanisani kiukweli huwa tunajiwekea malengo makubwa sana na kwa mkono wa bwana huwa mambo yetu yanafanikiwa.
Tunaona jinsi ambavyo mnaweza kujenga makanisa makubwa ya ghorofa kwa uvumilivu na ustahimilivu wa hali juu bila kuchoka tena kwa muda mrefu kwa moyo mmoja na ushirikiano kwa kutumia nguvu ya kanisa.
Kwakweli Mungu awabariki sana. Amen.
Umewai kwenda kanisani mkuu? Umewahi kuhudhuria vikao vyovyote vya wababa au wamama au vijana, umewahi kusikiliza mikakati ya kanisa ili kuwaongezea kipato waumini wake waendelee kutoa sadaka makanisani na kuwa na maisha bora?Kiwanda siyo kusudi kuu la kanisa
Kabisa mkuu,mimi ni mdau mkubwa ila kusudi kuu la kanisa siyo kiwandaUmewai kwenda kanisani mkuu? Umewahi kuhudhuria vikao vyovyote vya wababa au wamama au vijana, umewahi kusikiliza mikakati ya kanisa ili kuwaongezea kipato waumini wake waendelee kutoa sadaka makanisani na kuwa na maisha bora?
Hiko unachokiwaza unazani makanisa hawajawahi kuwaza mkuu? Wao wamejispecialise katika kutoa huduma za kijamii (Upendo katika kumhidumia) kama mashule na hospitals kwa muda wa Karne na karne. Hata biblia imeandika dini ya kweli ni kuwajulia mayatima na wajane katika dhiki zao.Kwani ni ajabu makanisa kuwekeza wakuu, mbona mataifa yote yamejengwa na nguvu ya kanisa, tawala zenyewe zimeanzia kanisani. Chanzo cha mataifa yote si ni kanisa au.