Makanisa yaliyopo Tanzania yakiamua yanaweza kujenga viwanda

Swali langu moja kwako ni hili: je wewe umeokoka??
Nje ya Mada, hili tatizo sikulaumu ila watanzania wengi mna haya matatizo.
dini yangu/wokovu hauna uhusiano wowote na mada liyopo mezani.
Usihukumu kitabu kwa kava lake
 
Mimi nitahukumu kitabu kwa kava lake maadamu sijui kilichimo ndani mwake, hutaki kusema wewe ni nani, ukisema wewe ni nani basi hukumu ya juu ya kava itaondoka,

Na hiyo ni mada kwani umesema mimi "nimeharisha" baada ya kusema walokole hupunga mapepo WANAWAKE tu, umejitokeza kuwatetea walokole sasa wewe ni miongoni mwa Walokole???--- kumbuka unapoficha imani yako Yehova anakuona.

nataka tuanze mada.
 
Wanaotetea ya Museveni, Al Bashir, Misri na wengine wao ni mdikteta?

Wewe ni afisa kipenyo unataka kujua status za watu huku ili ukamtupe mto ruvu ?
 
Back
Top Bottom