Mimi nitahukumu kitabu kwa kava lake maadamu sijui kilichimo ndani mwake, hutaki kusema wewe ni nani, ukisema wewe ni nani basi hukumu ya juu ya kava itaondoka,
Na hiyo ni mada kwani umesema mimi "nimeharisha" baada ya kusema walokole hupunga mapepo WANAWAKE tu, umejitokeza kuwatetea walokole sasa wewe ni miongoni mwa Walokole???--- kumbuka unapoficha imani yako Yehova anakuona.
nataka tuanze mada.