yataje, kama unayajua ambayo hayajasajiliwa. mbarikiwa alikuwa chini ya world alive, akafukuzwa, akawa anatafuta kufungua lake, hata alipoenda mbeya alikuwa chini ya mwamvuli tu. hakusajili. yataje hayo unayofikiri wee hayajasajiliwa. just mention them, na uweke rejista hapo tuione.