Makanisa yatishiwa kulipuliwa na makundi ya kiislamu kule Vienna

Makanisa yatishiwa kulipuliwa na makundi ya kiislamu kule Vienna

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Polisi wameimarisha usalama kwenye majengo yote ya makanisa baada ya kupata taarifa kuhusu tishio la waislamu kupanga kuyalipua.....

Austrian police warned Wednesday of a possible "Islamist-motivated attack" in Vienna against churches, citing undisclosed information received by the country's intelligence service.

Police in Vienna tweeted that they had heightened security in front of certain buildings and increased the presence of officers in the Austrian capital.

"There is a nonspecific threat of an assault against churches," Vienna police tweeted. "As (a) precautionary measure ... points of interest have been put under increased guard by regular and special operation police forces."

"If there is a concrete danger for the population at a concrete location, Vienna police will warn immediately via all available channels," police added.

The police department said it could not predict how long their security measures would be in place.

"Police officers are equipped with bulletproof helmets and vests and assault rifles. They will carry out surveillance activities and also carry out checks in road traffic," police spokesperson Markus Dittrich told local radio station Radio Wien.
 
Propaganda za magharibi hizi kila siku zinatafuta namna ya kuifanya dini ya kiislamu ni vurugu
Njia rahisi ya muislam kuiona pepo ni kumuua kafiri. Ueni maana ni maamrisho ya dini yenu. Ila mkumbuke kuwa miaka 600 kabla dini yanu haijaundwe na yule Bwana wa upande wa pili wakristo tayari walikuwa wameshapewa taarifa kuwa kuna dini itaibuka na kuwaua huku ikiamini kumuua mkristo nikumtolea Mungu sadaka.
 
Hawa ni vijana wa Kisomali, kiarabu na wenye kauchotara kutoka kwenye asili hizo ambao huingia Ulaya na mataifa mengine ya Marekani na kwingineko kama wakimbizi... mwishowe wanaanza kupeleka shida nchi za watu. Sheria kali ziwekwe kwa vijana wa namna hiyo.

Huko uingereza ndo balaa!
 
Rudi kwenye mada. Kabla ya Muhammad kuibukq na dini yake miaka Mia 6 baada ya kristo, kristo alikuwa tayari kashawataarifu kuwa kuna dini itaibuka itawaua huku wakidhani wanamtolea Mungu sadaka na kauli yao kuu ni " Yesu si Mungu".
 
Rudi kwenye mada. Kabla ya Muhammad kuibukq na dini yake miaka Mia 6 baada ya kristo, kristo alikuwa tayari kashawataarifu kuwa kuna dini itaibuka itawaua huku wakidhani wanamtolea Mungu sadaka na kauli yao kuu ni " Yesu si Mungu".
Kipi kilichokujuza Uislam uliibuka miaka mia SITA baada ya kristo?
 
Wewe nilishaku- agnore bahati mbaya mi si mwenyeji wa Jf hivyo sijui namna ya kufanya ilinisione koment zako hata user name yako.
Miongoni mwa majitu majinga ya Jf umo.
Bofya jina lake utaletewa kitu kama hicho pichani,,,,,mkonowa kulia Kuna vidoti vitatu vibofye,Kisha bofya hayo uloletewa ,,,,,, ignore [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Screenshot_20230316-112724.jpg
 
Iweke hapa hiyo history,nasi tupate maarifa kuwa Uislam ulikuja baada ya Uikristo
Jibu nilichokuuliza kwanza... wewe uliyepo kinyume na nilichokiandika unatumia nini kujua kuwa kitu fulan kime exist wakati upi.
Kama huna jibu ama umeshindwa kujibu kwasababu ya unazozijua wewe, sema.
Hiki ulichoniuliza sasa niulize baada ya kujibu nilichokuuliza.
 
Back
Top Bottom